Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Shida mnabadilikaga nyie mambo ya kuanza kupelekana ustawi wa jamii

Saa hizi unasema vizuri tu kwamba ni hiari kulea baadae uanze kumuendea jamaa kwa mkewe kuwa hatumi matunzo

Otherwise it's a good deal
Mtego huu. Anataka anayejiweza sababu ni kulazimishana child support kwa nguvu.
 
Nashangaa kama shida ni mtoto na hakuna attachment zingine, suala la degree linaingiaje kwenye vigezo?
Hataki kilaza na hicho ni kipimo chake Cha IQ kitu ambacho siyo sahihi.
Kuna waliopata first class secondary schools wakachagua kusomea professional course flani mfano urubani, air traffic control, kwenda jeshini, e.t.c.
 
Habari zenu jmn..

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari

Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi- mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa

Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,

Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40(below 40 basi uwe mtu unayejielewa&unaelewa maisha),
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu, mweupe(mweusi hapana), uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,
Kielimu minimum ni degree,

Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom

Kama utapenda karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Daha! Hatimaye nimefikiwa. Sifa zote ninazo mimi tu hapa. Karibu mrembo tuyajenge. Angalia hiyo mbegu kwenye avatar yangu, halafu unipe mrejesho. 🤗

NB:- Muhimu tu usije ukaniteka na kunipoteza. Abdul Nondo akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu Udsm, alijikita yuko Mafinga kwenye misitu ya Sao Hilii!! Mdude_Nyagali naye na ukamanda wake aliwahi kuingia kwenye mtego wa aina hii! Mimi sitaki majanga ya aina hii yanikute aisee. 😩
 
Maisha yana mitihani sana
Kuliko unavyodhani
Ndo mana nahitaji mtoto tu na baba ambaye atakubali mtoto pia
Mahusiano napumzika kidogo kwa sasa

Najiweza kimaisha hivyo sitafuti fedha kwa mwanaume
Kama mahusiano unapumzika It mean's ulikuwa na mtu kwenye mahusiano kwa nini usingeongea na huyo uliyehusiana nae kuhusu swala hilo? na pale ulipoweka vigezo tayari inaonyesha kuna kitu umelenga usidhani tulipenda kuzaliwa na wazazi tusiowachagau ila hiyo ndo maana ya maisha wewe unakwenda kinyume na maisha kwa hari hii tegemea msongo mkubwa kabisa wa mawazo huko mbele unaweza kukupelekea hata kujidhuru kwa Kuwa Akili yako inakuaminisha kwamba unaweza kupanga mambo yaliyo nje ya uwezo wako na uenda mama ako alitamani kuzaa na mzungu lakini haikuwa mpango wa Mungu Acha kuweka vigezo kwani hivyo vyote sio gerentii ya kupata mume unaetegemea kuwa baba wa mtoto wako anaweza ku mach hivyo vigezo ila matendo Shetani ni Mstaharabu kuwa makini Dogo.
 
Utapata

Ila before hatujazaa itapendeza tuandikishane tuwe na (Contract).

Maana ulichofanya umeamua kupitia back door ili kuifikia ndoa.

So kugeukana na kupelekana mahakamani au ustawi haifai.
Dokta acha uoga
 
Kama mahusiano unapumzika It mean's ulikuwa na mtu kwenye mahusiano kwa nini usingeongea na huyo uliyehusiana nae kuhusu swala hilo? na pale ulipoweka vigezo tayari inaonyesha kuna kitu umelenga usidhani tulipenda kuzaliwa na wazazi tusiowachagau ila hiyo ndo maana ya maisha wewe unakwenda kinyume na maisha kwa hari hii tegemea msongo mkubwa kabisa wa mawazo huko mbele unaweza kukupelekea hata kujidhuru kwa Kuwa Akili yako inakuaminisha kwamba unaweza kupanga mambo yaliyo nje ya uwezo wako na uenda mama ako alitamani kuzaa na mzungu lakini haikuwa mpango wa Mungu Acha kuweka vigezo kwani hivyo vyote sio gerentii ya kupata mume unaetegemea kuwa baba wa mtoto wako anaweza ku mach hivyo vigezo ila matendo Shetani ni Mstaharabu kuwa makini Dogo.
Mahusiano yana changamoto zake
Sitafuti mume bali mtoto tu with a co-parenting agreement only
 
Back
Top Bottom