Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Shida mnabadilikaga nyie mambo ya kuanza kupelekana ustawi wa jamii

Saa hizi unasema vizuri tu kwamba ni hiari kulea baadae uanze kumuendea jamaa kwa mkewe kuwa hatumi matunzo

Otherwise it's a good deal
Umeongea vyema sana.
Hili jambo ni muhimu liwe na MoU, pande zote mbili ziweke saini zao na kila mmoja abaki na nakala.
 
Duh aisee
 
Mie sina degree ila pesa ipo....vipi utanikubalia?
 
Ukihitaji kuchanganya mbegu na tumbili unishtue
 
Kuna ule uzi wa Baba niruhusu nizae mbona kama nikiunga dots naona unaendana kabisa na huu?
 
Pamoja na umri wako huo kuwa mkubwa, bado ujajifunza nini maisha yanataka? Kiufupi ulichokiandika ni Nadharia tu, wala sio practical. Degree, urefu, maji ya kunde yanakusadia nini wewe kupata mimba na kuzaa?. Nakupa codes sasa bila unafiki, punguza masharti na ukipata mtu anayefikia 50% ya vigezo vyako, mnyakuwe faster kama mwewe, otherwise utaendelea kukomaa na kusinyaaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…