Mwanaume usije kumpa zawadi au kitu mwanamke ukasema ataridhika, awe kasoma au hajasoma wote akili yao ni moja

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Leo mahsusi kwa wanaume,
Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya,
Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika,
Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani wewe waweke kundi moja ili siku mambo yakiharibika usije kujiua bure,
Tunawakumbusha hata mke wako ndani anacheat kama kawaida lakini anafanya Siri Tu usijue na hacheat na mtu mmoja anao wengi kuliko unavifikiria,
Roho ya kuridhika kwa mwanamke hua haipo milele , na hilo sahau kwa sababu yeye ni mtu wa kujaribu vitu hadi anakufa,
Angalizo , mwanamke mwenye 40+ huyu asikusumbue maana Hana muda akifika 50 anaanza katafuta yeye nani amstiri hii kwa vijana mnaokimbilia single mother na wajane waacheni hao Wana dunia yao hua inawasubiri kuwatesa na hua wanajuta mwishoni.
Huo ni ushauri kwa vijana wa Leo chukua bure itakusaidia.
 
😅
FB_IMG_1730990282873.jpg
 
Kuna kitabu kinaitwa understand the power and purpose of women ukisoma kile kitabu utapata introduction kidogo ya wanawake walivyo.

Kinasema kwamba mwanamke mshipa wake wa ufahamu umeungana na mshipa wake wa hisia wakati mwanaume wa kwake ni separate.

Lakini pia mwandishi anasema tangia dunia iumbwe hitaji la mwanamke linabadilik kila mwaka au kila karne ila hitaji la mwanaume tangia dunia ianze ni lile haliwahi kubadilika.

Ndio maana mwanamke ni multi purpose anaweza akapika akafua akalea mtoto kwa wakati mmoja ila mwanaume hawezi kwasababu mwanamke anafanya kitu halafu ndio anafikiria ila mwanamke anafikiria halafu ndio ana take action.

Men are logical thinker while women are emotional feeler.

Ndio maana wanawake wanasema eti naringa sishobokei demu wala malaya yoyote na kuacha ni sekunde tu nikupe hela nikuhudumie halafu unipe stress sio mimi I don't care.

NB:huwezi kumridhisha mwanamke.
 
Ndio maana mwanamke ni multi purpose anaweza akapika akafua akalea mtoto kwa wakati mmoja ila mwanaume hawezi kwasababu mwanamke anafanya kitu halafu ndio anafikiria ila mwanaume anafikiria halafu ndio ana take action.

Men are logical thinker while women are emotional feeler.

Ndio maana wanawake wanasema eti naringa sishobokei demu wala malaya yoyote na kuacha ni sekunde tu nikupe hela nikuhudumie halafu unipe stress sio mimi I don't care.

NB:huwezi kumridhisha mwanamke.
 
Kuna kitabu kinaitwa understand the power and purpose of women ukisoma kile kitabu utapata introduction kidogo ya wanawake walivyo.

Kinasema kwamba mwanamke mshipa wake wa ufahamu umeungana na mshipa wake wa hisia wakati mwanaume wa kwake ni separate.

Lakini pia mwandishi anasema tangia dunia iumbwe hitaji la mwanamke linabadilik kila mwaka au kila karne ila hitaji la mwanaume tangia dunia ianze ni lile haliwahi kubadilika.

Ndio maana mwanamke ni multi purpose anaweza akapika akafua akalea mtoto kwa wakati mmoja ila mwanaume hawezi kwasababu mwanamke anafanya kitu halafu ndio anafikiria ila mwanamke anafikiria halafu ndio ana take action.

Men are logical thinker while women are emotional feeler.

Ndio maana wanawake wanasema eti naringa sishobokei demu wala malaya yoyote na kuacha ni sekunde tu nikupe hela nikuhudumie halafu unipe stress sio mimi I don't care.

NB:huwezi kumridhisha mwanamke.
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom