Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
k
kuna kitabu kingine kinaitwa man is from mars and women is from venus sijakisoma, ila wanawake ni kuishi nao kwa akili nyingi sana ukielemewa na hisia ndo utajua haujui.Kuna kitabu kinaitwa understand the power and purpose of women ukisoma kile kitabu utapata introduction kidogo ya wanawake walivyo.
Kinasema kwamba mwanamke mshipa wake wa ufahamu umeungana na mshipa wake wa hisia wakati mwanaume wa kwake ni separate.
Lakini pia mwandishi anasema tangia dunia iumbwe hitaji la mwanamke linabadilik kila mwaka au kila karne ila hitaji la mwanaume tangia dunia ianze ni lile haliwahi kubadilika.
Ndio maana mwanamke ni multi purpose anaweza akapika akafua akalea mtoto kwa wakati mmoja ila mwanaume hawezi kwasababu mwanamke anafanya kitu halafu ndio anafikiria ila mwanamke anafikiria halafu ndio ana take action.
Men are logical thinker while women are emotional feeler.
Ndio maana wanawake wanasema eti naringa sishobokei demu wala malaya yoyote na kuacha ni sekunde tu nikupe hela nikuhudumie halafu unipe stress sio mimi I don't care.
NB:huwezi kumridhisha mwanamke.