Mwanaume usije kumpa zawadi au kitu mwanamke ukasema ataridhika, awe kasoma au hajasoma wote akili yao ni moja

k
kuna kitabu kingine kinaitwa man is from mars and women is from venus sijakisoma, ila wanawake ni kuishi nao kwa akili nyingi sana ukielemewa na hisia ndo utajua haujui.
 
Na sku izi wana neno moja zuri sana wanasema” Mwanaume mwenyewe hana nguvu za kiume
Sabu anajua akisema ulikua humtunzi watamshangaa sabu matunzo yanaonekana ila nguvu za kiume ni nani ataweza bisha ama kukutetea

Umekaa na mwanamke miaka 10 mmezaa watoto 2/3/4 sku anakuchit ukimshika na kumpeleka kwa ukoo au familia yake mkayajadili anajua kbsa akisema ulikua humtunzi mtashangaa sabu matunzo huonekana nguo, simu,gar pesa, matunzo yanaonekana ila akisema huna nguvu za kiume ni nani anaweza bisha je ni nani anaweza prove km ni uongo au kwel
 
k

kuna kitabu kingine kinaitwa man is from mars and women is from venus sijakisoma, ila wanawake ni kuishi nao kwa akili nyingi sana ukielemewa na hisia ndo utajua haujui.
Hicho pia nimekisoma japo kinazungumzia zaidi maisha ya mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume ila kile cha Myles munroe understand the power and purpose of the women kipo vizuri sana.
 
Hicho pia nimekisoma japo kinazungumzia zaidi maisha ya mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume ila kile cha Myles munroe understand the power and purpose of the women kipo vizuri sana.
Mwanamke unatakiwa usimuhurumie kwa lolote, ujue yeye deep down Hana huruma na wewe, mpaka kifo chake hatokuja kukuhudumia zaidi ataangalia maslahi yake kwako
 
Kwahyo hakunq mwenye uafadhali kati ya msomi na hawa wa kwetu uswahilini?
 
Batazar kazua balaaa!! yataibuka mengi had tumemsahau pididii.
 
Hawezi kwepa hivyo vyote vinataka kumkojolea hata umpe nini
 
Attachments

  • IMG_20241107_174011.jpg
    226.7 KB · Views: 2
itoshe kusema,tunawavuruga sana in real life,ila humu wanajitutumua tu....

Nb: na badooooooo😂
Ndio maana nasisi tunawavunja maduka bila huruma
 
Attachments

  • IMG_20241107_114109.jpg
    222.5 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…