jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 May 5, 2024 #181 Mdigokhan said: Umetumia kiungo gani kufikiria ukitoa kichwa cha juu na cha chini mkuu…??? Click to expand... Haya mambo ni kweli, mi hata kama mwanamke zamani alikua mpenzi wangu,akiolewa tu sipigi tena! Sema ninae mmoja huyo ananisumbua hadi kesho, na ni mke wa mtu na kanizalia hadi mtoto, lakini sitaki kupiga tena, nafsi inanusta sana!!
Mdigokhan said: Umetumia kiungo gani kufikiria ukitoa kichwa cha juu na cha chini mkuu…??? Click to expand... Haya mambo ni kweli, mi hata kama mwanamke zamani alikua mpenzi wangu,akiolewa tu sipigi tena! Sema ninae mmoja huyo ananisumbua hadi kesho, na ni mke wa mtu na kanizalia hadi mtoto, lakini sitaki kupiga tena, nafsi inanusta sana!!