jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Haya mambo ni kweli, mi hata kama mwanamke zamani alikua mpenzi wangu,akiolewa tu sipigi tena! Sema ninae mmoja huyo ananisumbua hadi kesho, na ni mke wa mtu na kanizalia hadi mtoto, lakini sitaki kupiga tena, nafsi inanusta sana!!Umetumia kiungo gani kufikiria ukitoa kichwa cha juu na cha chini mkuu…???