Mwanaume usije thubutu kutembea na mke wa mtu

Kama biashara yako ni bora,hao wateja hawanunui kwa sababu yake bali ni kutokana na ubora wa Bidhaa au huduma.
Mwambie ukweli kuwa huwezi lala na Mke wa mtu,sasa wewe jichanganye.aliyekupa taarifa kuwa huyo ni mke wa mtu amisha peleka taarifa kwa mume wake
 
Watu huwa wanatembea na wake za watu sababu hawaelewi madhara au uzito wa issue ya kutembea na mke wa mtu.

Jambo la kwanza mtu anawazia ni kupiga mzigo mara kadhaa akizoea huyo mwanamke apige chini atafute mwingine.

Sasa kuna matokeo au mazingira hutokea unapokuwa unapiga wake za watu ni vema kujifunza.
 
Hii nimewaza sana hasa kuhusu Yule chawa,Kama 10k Katema mambo kibao je kwa mumewe akipewa 50k si ataongea hata mambo ambayo hayapo..
 
Mbona hujayaeleza hapa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…