mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
π π π Sasa CCM imekujaje mkuu, any way dhambi haifutiki kwa kufanya dhambi , aliyekosea haihalalishi kuvunjiwa ndoa yakeUnapataje Mkosi kama unayemgongea ni kiongozi wa ccm au serikali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π Sasa CCM imekujaje mkuu, any way dhambi haifutiki kwa kufanya dhambi , aliyekosea haihalalishi kuvunjiwa ndoa yakeUnapataje Mkosi kama unayemgongea ni kiongozi wa ccm au serikali?
Mr Poor Brain π€£π€£is that you , what is behind you? Or is that name make this trouble
π¨"Usimtongoze mteja"
Ni mtihani mzito kwa sababu anakusaidia kibiashara. Na hulka ya binadamu ilivyo ukimkataa laziama atetemeshe biashara ipate tetemeko.
La msingi ushauri wangu kwanza usimle. Suala la pili mtafute mume wake mchane mueleze azma yako ya kutotaka kumchapia mke wake lakini upande mwingine athari unazohofia kupata kibiashara kwa kuendelea kumkataa kisha muombe mfanye
Huu ushauri si mzuri ni hatari.Ni mtihani mzito kwa sababu anakusaidia kibiashara. Na hulka ya binadamu ilivyo ukimkataa laziama atetemeshe biashara ipate tetemeko.
La msingi ushauri wangu kwanza usimle. Suala la pili mtafute mume wake mchane mueleze azma yako ya kutotaka kumchapia mke wake lakini upande mwingine athari unazohofia kupata kibiashara kwa kuendelea kumkataa kisha muombe mfanye mpango iwe kama jamaa anawafumania. Namna hiyo ni rahisi kusitisha hadithi ya kukutaka bila kuathiri suala la biashara.
Wananionea tuu πππππππMr Poor Brain π€£π€£is that you , what is behind you? Or is that name make this trouble
Dah Braza sio kweli waambie wakuache bana au tukate rufaaWananionea tuu πππππππ
Ushauri hasi huu, Ke wana akili sana ila hawana upeo, kwa mtego huo Ke ataliwa kisawasawa na Mume hataambulia kitu.Ni mtihani mzito kwa sababu anakusaidia kibiashara. Na hulka ya binadamu ilivyo ukimkataa laziama atetemeshe biashara ipate tetemeko.
La msingi ushauri wangu kwanza usimle. Suala la pili mtafute mume wake mchane mueleze azma yako ya kutotaka kumchapia mke wake lakini upande mwingine athari unazohofia kupata kibiashara kwa kuendelea kumkataa kisha muombe mfanye mpango iwe kama jamaa anawafumania. Namna hiyo ni rahisi kusitisha hadithi ya kukutaka bila kuathiri suala la biashara.
Ndo wameniachia jana usiku bana...Dah Braza sio kweli waambie wakuache bana au tukate rufaa
Ke Kiumbe pekee kisichojua kinataka nini, show pia ukikipiga vizuri kitalalamika unakikomoa, Ke mmoja alishawahilalamika JF Me wake anapiga show daily hadi hapati muda wa kupumzika.Huyu mwanamke kuna kitu anakosa kwa mumewe.
Hicho kitu siyo pesa wala matunzo, bali ni show
Toa no tukusaidieKuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz Mimi sipendi kabisa mambo za mke wa mtu,Kheri Awe demu wa mtu Ila Akiwa ni mke wa mtu hata kama simfahamu mumewe basi Simuhitaji katika maisha yangu,Basi buana akanijibu hana mume Ila Alikuwa na mpenzi tu Ila wameachana basi Nikarusha nyavu bahati nzuri Samaki nikampata..!!
Tumekaa katika Mahusiano kama mwezi ivi Full Romance Huku tukitoka Chakula cha usiku Ila hatukuwahi kufanya mapenzi Sababu ya kutofanya mapenzi Siijui kwanini Nashangaa nilikuwa mzito tu kuomba mechi licha ya kuwa mdada mzuri sana Yani nilikuwa sijui kwanini nakuwa mzito sana..
Maendeleo kwenye biashara yangu ni mazuri sana Ameendelea kuja kwenye biashara yangu na kuniungisha mzigo mkubwa na kuniletea Connection Za watu mbali mbali Hakika biashara yangu Imepamba moto kuhusu wateja Alhamdulilhβ¦!!
Sasa wiki kadhaa nyuma alivoona kimya simgusii swala La Kwenye Kunyanduana akaniambia ananihitaji tukapige show Nikakubali na nikampa Matakwa yangu kuwa lazima tupime afya na tukaenda kupima tukajikuta wote tupo salama,Kilichobaki ni kwenda Kunyanduana..!!
Jumatatu iliopita Tukiwa Kwenye gari yake(Mimi ndio nilikuwa dereva )Tunaelekea hotel kukiwasha Tukafika sehemu Akaniambia nimsubiri nusu Saa Akashuka then mimi nikawa nimetulia kwenye gari,Dakika kadhaa Dirisha la upande wangu likagongwa Nikashuka kioo nikamuona jamaa mmoja ivi simfahamu Ila akawa Ananishangaa Akaanza kuniambia kuwa amenifananisha Mana hii gari ya mtu furani na plate number ndio ivo ivo so anashangaa kuniona mie,Nikamjibu mimi dereva tu Akaanza kuniambia dah Huyu mumewe alikuwa hataki kabisa mke wake aendeshwe imekuwaje ameruhusu..!!Duh mimi nikastuka nikamuuliza kwani ameolewa jamaa akaniambia yeah,Huyu jamaa ni wale kama machawa akanifungikia mengi sana na akaniambia kama Huyu demu ndio kaniajiri bila mumewe kujua basi niache hio kazi chap dah ilinipiga usoni hii kitu,Tukaongea mambo kadhaa akaniomba 10k nikampa akasepa..
Demu alivorudi kwakuwa nilikuwa wa mto nikamuuliza kuhusu Ndoa na kwanini amenidanganya na demu akafunguka kuwa ananipenda ndio mana amenidanganya full kunionesha picha za harusi Aisee ilinipiga Usoni,Nikamwambia hii safari tutaenda siku ingine now sipo sawa..!!
Zikapita siku kama 3 ivi mawasiliano ya kawaida tu Ila nilianza kumpotezea ila sitaki kumchana kuwa sikutaki kabisaa kwasababu ni mteja mkubwa na amenipa connection so nawaza nikimtema makavu live nitapoteza mteja na wateja..
Katika biashara yangu hana hata 10 yake wala hajawahi nipa hela niongezee katika biashara Labda baadhi ya vitu vya geto Amenisaidia kiufupi alivokuja kwenye maisha yangu Amebadilisha Kidogo maisha yangu hasa kwa hawa wateja alioniletea..!!
mimi na mke wa mtu Ni vitu viwili tofautii Nishaambiwa na baba angu Kheri Nikate uume wangu kuliko kulala na mke wa mtuβ¦wazee wa busara ile kauli ya MKE WA MTU SUMU huwa naishi nayo sana moyoniβ¦
Huyu demu age yake 31 ivi Now ananisumbua sana Nawaza nimchane nione itakuwaje au niendelee kumpotezea Tu ili nisipoteze mteja na wale watu alionionganishia au niaje niaje..!!
Ndoa = Magari, kila siku huua Watu kwa ajali lakini haizuii Watu wengine kununua magari.Kataa ndoa wanachukua point 3 nyingine kwapani
Watakuponza haoNiliwaza ivo Ila Safari moja huanzisha ingine na ingine na ingine..
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz Mimi sipendi kabisa mambo za mke wa mtu,Kheri Awe demu wa mtu Ila Akiwa ni mke wa mtu hata kama simfahamu mumewe basi Simuhitaji katika maisha yangu,Basi buana akanijibu hana mume Ila Alikuwa na mpenzi tu Ila wameachana basi Nikarusha nyavu bahati nzuri Samaki nikampata..!!
Tumekaa katika Mahusiano kama mwezi ivi Full Romance Huku tukitoka Chakula cha usiku Ila hatukuwahi kufanya mapenzi Sababu ya kutofanya mapenzi Siijui kwanini Nashangaa nilikuwa mzito tu kuomba mechi licha ya kuwa mdada mzuri sana Yani nilikuwa sijui kwanini nakuwa mzito sana..
Maendeleo kwenye biashara yangu ni mazuri sana Ameendelea kuja kwenye biashara yangu na kuniungisha mzigo mkubwa na kuniletea Connection Za watu mbali mbali Hakika biashara yangu Imepamba moto kuhusu wateja Alhamdulilhβ¦!!
Sasa wiki kadhaa nyuma alivoona kimya simgusii swala La Kwenye Kunyanduana akaniambia ananihitaji tukapige show Nikakubali na nikampa Matakwa yangu kuwa lazima tupime afya na tukaenda kupima tukajikuta wote tupo salama,Kilichobaki ni kwenda Kunyanduana..!!
Jumatatu iliopita Tukiwa Kwenye gari yake(Mimi ndio nilikuwa dereva )Tunaelekea hotel kukiwasha Tukafika sehemu Akaniambia nimsubiri nusu Saa Akashuka then mimi nikawa nimetulia kwenye gari,Dakika kadhaa Dirisha la upande wangu likagongwa Nikashuka kioo nikamuona jamaa mmoja ivi simfahamu Ila akawa Ananishangaa Akaanza kuniambia kuwa amenifananisha Mana hii gari ya mtu furani na plate number ndio ivo ivo so anashangaa kuniona mie,Nikamjibu mimi dereva tu Akaanza kuniambia dah Huyu mumewe alikuwa hataki kabisa mke wake aendeshwe imekuwaje ameruhusu..!!Duh mimi nikastuka nikamuuliza kwani ameolewa jamaa akaniambia yeah,Huyu jamaa ni wale kama machawa akanifungikia mengi sana na akaniambia kama Huyu demu ndio kaniajiri bila mumewe kujua basi niache hio kazi chap dah ilinipiga usoni hii kitu,Tukaongea mambo kadhaa akaniomba 10k nikampa akasepa..
Demu alivorudi kwakuwa nilikuwa wa mto nikamuuliza kuhusu Ndoa na kwanini amenidanganya na demu akafunguka kuwa ananipenda ndio mana amenidanganya full kunionesha picha za harusi Aisee ilinipiga Usoni,Nikamwambia hii safari tutaenda siku ingine now sipo sawa..!!
Zikapita siku kama 3 ivi mawasiliano ya kawaida tu Ila nilianza kumpotezea ila sitaki kumchana kuwa sikutaki kabisaa kwasababu ni mteja mkubwa na amenipa connection so nawaza nikimtema makavu live nitapoteza mteja na wateja..
Katika biashara yangu hana hata 10 yake wala hajawahi nipa hela niongezee katika biashara Labda baadhi ya vitu vya geto Amenisaidia kiufupi alivokuja kwenye maisha yangu Amebadilisha Kidogo maisha yangu hasa kwa hawa wateja alioniletea..!!
mimi na mke wa mtu Ni vitu viwili tofautii Nishaambiwa na baba angu Kheri Nikate uume wangu kuliko kulala na mke wa mtuβ¦wazee wa busara ile kauli ya MKE WA MTU SUMU huwa naishi nayo sana moyoniβ¦
Huyu demu age yake 31 ivi Now ananisumbua sana Nawaza nimchane nione itakuwaje au niendelee kumpotezea Tu ili nisipoteze mteja na wale watu alionionganishia au niaje niaje..!!
[emoji3578]Kama biashara yako ni bora,hao wateja hawanunui kwa sababu yake bali ni kutokana na ubora wa Bidhaa au huduma.
Mwambie ukweli kuwa huwezi lala na Mke wa mtu,sasa wewe jichanganye.aliyekupa taarifa kuwa huyo ni mke wa mtu amisha peleka taarifa kwa mume wake
Kuskia kwa kenge ni mpaka atoe damu.Ndoa = Magari, kila siku huua Watu kwa ajali lakini haizuii Watu wengine kununua magari.
Ubinadamu ni kazi/The humanityis a work.
Kwa hiyo bado upo kwa yellow card (kifungo cha nje)π€£Ndo wameniachia jana usiku bana...
πππππππππππ
Mnajitengenezea presha zisizo na msingi, kwahiyo wewe unavyojua mkeo hatakuja kuliwa aubhata sasa haliwi kinyemela??Watakuponza hao
Endelea na msimamo wako, mke wa mtu kaa naye mbali.
Hawa ma warriors wa humu wasikutoe kwenye reli kwa ujasiri feki wataokupa.
Nacho ogopa mimi kwenye ishu ya kubondewa mke, kila mtu ana namna yake ya kupunguza machungu.
Wengine wanapofanya kisasi inakuwa very brutality
Piga chini mkuu, as long as moyo wako umeshasita.Niliwaza ivo Ila Safari moja huanzisha ingine na ingine na ingine..
Bado nipo na kung'ora mkuu daahKwa hiyo bado upo kwa yellow card (kifungo cha nje)π€£