Nenda kawaongelee wadudu basi na Mkuu wa mkoa wenuNa hz ndio nyuzi watanganyika wanazipenda na ccm inataka ziwe nyingi sana.
KAZI ni kipimo cha UTU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kawaongelee wadudu basi na Mkuu wa mkoa wenuNa hz ndio nyuzi watanganyika wanazipenda na ccm inataka ziwe nyingi sana.
KAZI ni kipimo cha UTU
Like always saidKarma ipo
umezoeshwa kuamini hivyo, ila siku ukitulia ukatumia akil zako mwenyewe kufikiri, utakuja kugundua mambo meeeengi sana ambayo umekua ukiyaamini wala haya ukwel wowote ndani yake.Mimi ninaamini kila nachowafanyia wengine kitanirudia
Yaani hapa na wewe unajiona umetoa ushauri?Ni mtihani mzito kwa sababu anakusaidia kibiashara. Na hulka ya binadamu ilivyo ukimkataa laziama atetemeshe biashara ipate tetemeko.
La msingi ushauri wangu kwanza usimle. Suala la pili mtafute mume wake mchane mueleze azma yako ya kutotaka kumchapia mke wake lakini upande mwingine athari unazohofia kupata kibiashara kwa kuendelea kumkataa kisha muombe mfanye mpango iwe kama jamaa anawafumania. Namna hiyo ni rahisi kusitisha hadithi ya kukutaka bila kuathiri suala la biashara.
Unapataje Mkosi kama unayemgongea ni kiongozi wa ccm au serikali?Dadeq, 🔥🔥 kaingia mzima mzima
Nakazia Mdigokhan mke wa mtu ni sumu, kutembea nae huo mkosi hautaufuta, mpotezee mwanetu. Chukua muda kidogo kuvaa viatu vya huyo jamaa kama ingekuwa ni wewe mke wako kuna jamaa anatoka nae
Kwani unataka kumla mumewe?Vipi kuhusu mumewe..??
Nimecheka kwa sauti,watu wamenishangaaUnapataje Mkosi kama unayemgongea ni kiongozi wa ccm au serikali?
Mle tu bhana,walau ONE FOR THE ROAD.Wanawake wa kuwekana wapo kibao mjini, yaani ni wewe tu leo -kesho upo lodge unashusha g-string(manake miaka hii hakuna pichu). Tumia akili ya kiume kumkataa ili asiathiri biashara yako.
Aisee bro are you serious bomu atakalolitengeneza hapo unalielewa? Hapo watagombana wote watatu na ataharibu kote kuliko ulivyofikiriaNi mtihani mzito kwa sababu anakusaidia kibiashara. Na hulka ya binadamu ilivyo ukimkataa laziama atetemeshe biashara ipate tetemeko.