Mwanaume usije thubutu kutembea na mke wa mtu

Huu ushauri si mzuri ni hatari.
 
Ushauri hasi huu, Ke wana akili sana ila hawana upeo, kwa mtego huo Ke ataliwa kisawasawa na Mume hataambulia kitu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Dah Braza sio kweli waambie wakuache bana au tukate rufaa
Ndo wameniachia jana usiku bana...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu mwanamke kuna kitu anakosa kwa mumewe.

Hicho kitu siyo pesa wala matunzo, bali ni show
Ke Kiumbe pekee kisichojua kinataka nini, show pia ukikipiga vizuri kitalalamika unakikomoa, Ke mmoja alishawahilalamika JF Me wake anapiga show daily hadi hapati muda wa kupumzika.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Toa no tukusaidie
 
Niliwaza ivo Ila Safari moja huanzisha ingine na ingine na ingine..
Watakuponza hao

Endelea na msimamo wako, mke wa mtu kaa naye mbali.

Hawa ma warriors wa humu wasikutoe kwenye reli kwa ujasiri feki wataokupa.

Nacho ogopa mimi kwenye ishu ya kubondewa mke, kila mtu ana namna yake ya kupunguza machungu.

Wengine wanapofanya kisasi inakuwa very brutality
 

Tena ukiweza muandae kiakili ajue kama vile mnaenda kunyanduana mwandae vema then umpe speech ya kiume jinsi unavo jisikia bila kuhofia biashara yako mweleweshe vizuri tena kwa ustaarabu atakuelewa tu nadhani utakuwa umeokoa mambo mengi kwa kufanya hivo
 
[emoji3578]
 
Mnajitengenezea presha zisizo na msingi, kwahiyo wewe unavyojua mkeo hatakuja kuliwa aubhata sasa haliwi kinyemela??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…