Mwanaume usije thubutu kutembea na mke wa mtu

Kitendo kibaya sana yani kitendo chakuweka content yanamna hii kisha ukaweka ushahidi kabisaa..
Hii inasababisha kuwapa kichwa nakuwapandisha mabega wale walile kundi wanao jiita kataa ndoa.
Lengo inatakiwa mambo kama haya wayashudie live kabisa wakioa sio kupata udaku mapema namna hii.
😊😊😊😊😊😊😊😊
 
Umemaliza kula ugari na Sukari
 
😂😂😂 we jamaa
 
Ke Kiumbe pekee kisichojua kinataka nini, show pia ukikipiga vizuri kitalalamika unakikomoa, Ke mmoja alishawahilalamika JF Me wake anapiga show daily hadi hapati muda wa kupumzika.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Nililalamikiwaga mimi,watu wakaniponda mpaka nikawa naogopa.Wakati huo niliweka picha ya dr Shika akiwa kavaa litai lirefu ,ilibidi niibadilishe haraka
 
usitembee na mke wa mtu mueleze huwezi kuzini na mke wa mtu.
vijana wanaoshabikia huo ujinga siku wakibakwa mimi nipo nitawanunulia panadol za kutosha za kujiuguza.
 
"La msingi ushauri wangu kwanza usimle. Suala la pili mtafute mume wake mchane mueleze azma yako ya kutotaka kumchapia mke wake lakini upande mwingine athari unazohofia kupata kibiashara kwa kuendelea kumkataa kisha muombe mfanye mpango iwe kama jamaa anawafumania. Namna hiyo ni rahisi kusitisha hadithi ya kukutaka bila kuathiri suala la biashara."

Yaan wewe ndio unataka kumtafutia jamaa majanga, amtafute mume wake serious! 🤔
 
Mwanamke yeyote asiye bikira, jua ni mke wa mtu.
 
usitembee na mke wa mtu mueleze huwezi kuzini na mke wa mtu.
vijana wanaoshabikia huo ujinga siku wakibakwa mimi nipo nitawanunulia panadol za kutosha za kujiuguza.
Kubakwa = (Uke)Mabinti/Wasichana/Ke.

Kulawitiwa = (Puru)Vijana/Wavulana//Me

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Mungu akubariki sana Mkuu.

Uamuzi wako mzuri sana.

Ila cha kuongeza, mwambie tu ukweli kuwa huwezi kulala nae Sababu yeye ni mke wa mtu, na unaheshimu wake za watu.

Naimani atakuelewa na atakuheshimu.

Kuhusu Biashara, kama kuna wateja alikuunganisha nao na ukapiga nao Biashara vizuri basi haitatetereka sana sababu wataendelea kukuamini.

Otherwise labda kama unategemea wateja wapya kutoka kwake hilo ni tatizo.

Pia ni hatari mumewe akiona hizo text sababu kimantiki wewe bado ni mchepuko wake. Patakuwa pazito na unaweza kabisa kupoteza hiyo Biashara na mfumo mzima wa maisha yako.

Ndio maana pale juu nikasema umwambie haupo tayari kulala nae ili iwe na msisitizo hata siku mumewe akifuma mnavyochati au mawasiliano yenu basi uwe salama..

Kila la Kheri Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…