Mwanaume usije thubutu kutembea na mke wa mtu

Mmh, mkuu umefiria tena hili la kumwambia mumewe? Athari zake unazijua?
 
"Mnyemelea wake za watu ni kama ngo'mbe ajipelekaye machinjioni" Haya ni maneno ya hekima ya mfalme Suleimani katika kitabu cha Mithali (sikumbuki ni sura wala mstari wa ngapi)
 
Wake za watu,very easy going sijui kwa nini.Nilikutana na wawili I really regret at times lkn kuna muda naona walinipa funzo kubwa Sana kiasi kwamba siku hizi I see them as my sisters. Yaani wewe unawaza show ya siku 1 tu,yeye akinogewa anawaza hata kuua mme wake,so STAY AWAY FROM THEM.
 
Eti anakuita chibaba. Hivi 10k ndio shilingi ngapi.
 
05)- NAOMBA NI ( TXT ) / ( DM ) NIKUAMBIE JAMBO NI MUHIMU SANA ( LIFE IS CODE ) YOU SUPPOUSE TO CRACK IT.
 
Kwa experience niliyoipata kwenye maisha hadi sasa ni hv..mke wa mtu akikutaka mwenyewe nakushauri kula ila kwa tahadhari coz hata usipokula mumewe akiona hzo chat umeishaaa atajua ushalamba tu na kumbuka mwanamke akikutaka hashindwi kukupata ni swala la mda tu ila atakupata...unaweza usimle ila madhara ukayapata coz ushajenga ukaribu nae,,yaan mpaka out mmetoka,je unahisi huko out mlipokuwa mnatoka watu hawajawaona??..kama ungekuwa hutaki ungemkataa mapema kabla ya sarakasi zote hzo ulizofanga....yaan kwa stage ulipofika nae umle/usimle lkn madhara lazima uyapate!
 
Hahahaaaa kina chibaba wakjona hii sahau kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…