Mwanaume usije thubutu kutembea na mke wa mtu

Ni kheri upoteze wateja sasa hivi akiwemo yeye na hao aliokuletea kuliko gharama kubwa sana utayokuja kulipa mbele siku zijazo.

Huwa najiulizaga kwa nn mnahangaika na wake za watu? Vyuo vikuu vimejaza wanawake wazuri sana wenye umri wa miaka 20~24.
 
Kwa mwanaume mwenye akili timamu yaani afya ya akili ipo sawa, ukifikiria maumivu atayoyapata mwanaume mwenzio kuwa kugundua umetembea na mke wake , asikwambie mtu hayo maumivu huwa ni makali sanaaaa hayasimuliki wala kuelezeka, madhara utayosababisha kwenye familia ya mwenzako utasababisha mauaji, uchumi wa familia kuyumba au kupoteza kabisa, kutengana watoto kupoteza dila ya maisha kiufupi utabomoa nyumba ya mwenzako kwenye kila idara, LAANA YAKE ITAKUTAFUNA WEWE NA VIZAZI VYAKO VYOTE KAMA SIO LEO HATA KESHO, kijana mwenzangu kimbia[emoji125] usigeuke nyuma mke wa mtu hana sababu au utetezi wowote wa kukufanya utembee naye, mwisho kabisa vaa viatu vya maumivu atayoyapata mwanaume mwenzio, kijana mwenzangu kwa uchungu kabisa nakwambia yale maumivu yanaumiza sana,
 
Mke wa mtu ni mtamu ila jiandae kipigo kama hichi
 
Attachments

  • VID-20240501-WA0003.mp4
    14.4 MB
Huu uzi umekaa ki kupikwa pikwa tu. Yaani kama movie, dem akatoka kama nusu saa, akaja jamaa akaijua gari, akanifungukia. Yaan mtu muonane leo leo afinguke mambo kibaao. Chai
 
giphy (1).gif

Well scripted..
 
Huu uzi umekaa ki kupikwa pikwa tu. Yaani kama movie, dem akatoka kama nusu saa, akaja jamaa akaijua gari, akanifungukia. Yaan mtu muonane leo leo afinguke mambo kibaao. Chai
Upo KATAVI mkuu..??Njoo kinondoni,Magomeni uone Vijana wanavoishi kwa kuungaunga Kwa maneno hata kama ndio kakuona leo..
 
Kwa mwanaume mwenye akili timamu yaani afya ya akili ipo sawa, ukifikiria maumivu atayoyapata mwanaume mwenzio kuwa kugundua umetembea na mke wake , asikwambie mtu hayo maumivu huwa ni makali sanaaaa hayasimuliki wala kuelezeka, madhara utayosababisha kwenye familia ya mwenzako utasababisha mauaji, uchumi wa familia kuyumba au kupoteza kabisa, kutengana watoto kupoteza dila ya maisha kiufupi utabomoa nyumba ya mwenzako kwenye kila idara, LAANA YAKE ITAKUTAFUNA WEWE NA VIZAZI VYAKO VYOTE KAMA SIO LEO HATA KESHO, kijana mwenzangu kimbia[emoji125] usigeuke nyuma mke wa mtu hana sababu au utetezi wowote wa kukufanya utembee naye, mwisho kabisa vaa viatu vya maumivu atayoyapata mwanaume mwenzio, kijana mwenzangu kwa uchungu kabisa nakwambia yale maumivu yanaumiza san
📌📌
 
Daaah!!!
Si umesema unamsimamo halafu unauliza nini!!!! Pesa ni hatari maishani..
Sikia binti,Licha ya kuwa ni dhambi ambayo wengi wanaifanya hata mimi naweza ifanya cuz adhabu yake sio leo ila nawaza maumivu ya huyu mumewe Ambayo atayabeba,Nawaza Jinsi nitakavosambaratisha familia kwa upuuzi wangu..!!Sijui umenielewa bibie..
 
Upo KATAVI mkuu..??Njoo kinondoni,Magomeni uone Vijana wanavoishi kwa kuungaunga Kwa maneno hata kama ndio kakuona leo..
😂😂😂😂😂😂 ili umpe ten ya shisha sio sawa mkuu nimekubali uzi ni kweli na kwetu tupu😂🙌🏾🙌🏾
 
Mlio oa m focus kwenye kuitafuta kesho iliyo njema kwa familia zenu, haya mengine yasiwaumize vichwa, wanawake hawasomeki siku hizi.
Screenshot_20240503-154456~2.png
Screenshot_20240503-154621~2.png
 
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz.

Mimi sipendi kabisa mambo za mke wa mtu, kheri Awe demu wa mtu Ila Akiwa ni mke wa mtu hata kama simfahamu mumewe basi simuhitaji katika maisha yangu, basi buana akanijibu hana mume Ila Alikuwa na mpenzi tu Ila wameachana basi Nikarusha nyavu bahati nzuri Samaki nikampata..!!

Tumekaa katika Mahusiano kama mwezi hivi Full Romance Huku tukitoka Chakula cha usiku Ila hatukuwahi kufanya mapenzi Sababu ya kutofanya mapenzi Siijui kwanini Nashangaa nilikuwa mzito tu kuomba mechi licha ya kuwa mdada mzuri sana yaani nilikuwa sijui kwanini nakuwa mzito sana..

Maendeleo kwenye biashara yangu ni mazuri sana. Ameendelea kuja kwenye biashara yangu na kuniungisha mzigo mkubwa na kuniletea Connection Za watu mbali mbali hakika biashara yangu Imepamba moto kuhusu wateja Alhamdulilh…!!

Sasa wiki kadhaa nyuma alivyoona kimya simgusii swala La Kwenye Kunyanduana akaniambia ananihitaji tukapige show Nikakubali na nikampa Matakwa yangu kuwa lazima tupime afya na tukaenda kupima tukajikuta wote tupo salama, kilichobaki ni kwenda Kunyanduana..!!

Jumatatu iliopita Tukiwa Kwenye gari yake(Mimi ndio nilikuwa dereva)Tunaelekea hotel kukiwasha Tukafika sehemu Akaniambia nimsubiri nusu Saa Akashuka then mimi nikawa nimetulia kwenye gari, Dakika kadhaa Dirisha la upande wangu likagongwa Nikashuka kioo nikamuona jamaa mmoja hivi simfahamu Ila akawa Ananishangaa Akaanza kuniambia kuwa amenifananisha maana hii gari ya mtu fulani na plate number ndio hivyo hivyo so anashangaa kuniona mie.

Nikamjibu mimi dereva tu Akaanza kuniambia dah Huyu mumewe alikuwa hataki kabisa mke wake aendeshwe imekuwaje ameruhusu..!! Duh mimi nikastuka nikamuuliza kwani ameolewa jamaa akaniambia yeah, huyu jamaa ni wale kama machawa akanifungikia mengi sana na akaniambia kama Huyu demu ndio kaniajiri bila mumewe kujua basi niache hio kazi chap dah ilinipiga usoni hii kitu,Tukaongea mambo kadhaa akaniomba 10k nikampa akasepa..

Demu alivyorudi kwakuwa nilikuwa wa mto nikamuuliza kuhusu Ndoa na kwanini amenidanganya na demu akafunguka kuwa ananipenda ndio maana amenidanganya full kunionesha picha za harusi Aisee ilinipiga Usoni, nikamwambia hii safari tutaenda siku ingine now sipo sawa..!!

Zikapita siku kama 3 hivi mawasiliano ya kawaida tu Ila nilianza kumpotezea ila sitaki kumchana kuwa sikutaki kabisaa kwasababu ni mteja mkubwa na amenipa connection so nawaza nikimtema makavu live nitapoteza mteja na wateja..

Katika biashara yangu hana hata 10 yake wala hajawahi nipa hela niongezee katika biashara Labda baadhi ya vitu vya geto Amenisaidia kiufupi alivyokuja kwenye maisha yangu Amebadilisha Kidogo maisha yangu hasa kwa hawa wateja alioniletea..!!

Mimi na mke wa mtu Ni vitu viwili tofautii Nishaambiwa na baba angu Kheri Nikate uume wangu kuliko kulala na mke wa mtu…wazee wa busara ile kauli ya MKE WA MTU SUMU huwa naishi nayo sana moyoni…

Huyu demu age yake 31 ivi Now ananisumbua sana Nawaza nimchane nione itakuwaje au niendelee kumpotezea Tu ili nisipoteze mteja na wale watu alionionganishia au niaje niaje..!!
Piga mzigo wengine waume zao mnara hausomi 4G wa sukari na waume zao huwaruhusu wapige mzigo.
 
Back
Top Bottom