Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Interval ni muhimu mm namzid 7 years naona ni sawa mshua anamzid bi mkubwa kama miaka 27 lkn sasa hvi ukiwatazama ni kama wanaelekeana umri mzee ana 97 mama 70
Duh, umeleta picha halisi my mumy 69, father 81, ila huwezi kuona tofauti kubwa wakitembea na wakiwa wanafanya shughuri zao.
 
Binafsi naona mwanamke kupoteza hamu ya ngono katika umri huo naona ni sahihi, ndo kipindi ambacho Jua linazama, uzee na changamoto zake unabisha hodi. Ni muda wa kujipanga na kujitayarisha na uzee sio kuendekeza nyege.

Suala la ngono lina namna nyingi ya kulitatua kwa mwanaume maana ni suala la muda mfupi.
 
Uko sahihi
 
Duh, umeleta picha halisi my mumy 69, father 81, ila huwezi kuona tofauti kubwa wakitembea na wakiwa wanafanya shughuri zao.
Ni kutozingatia tu hzi taratibu lkn kiuhalisia ukioa mwanamke mnafanana mkifika miaka 50 mwanaume unakuwa bado una nguvu wakati yeye ashaingia menopause hayuko interested sana na romantic issues huwezi kuwa proud na yeye ndo hyo unaingia kwenye kuoa vibint tena
 
Raha yakuoa age mate wako mnazeeka pamoja sasa ukioa kabint ntawahi kufa nauzeeni wahuni wanakuchapia mwa mwiii
Mwanamke anapoingia kwenye soko la mahusiano around miaka 17 hivi thamani yake inakua juu kwa sababu yupo kwenye kilele chake cha uzuri ni tofauti na wewe mwanaume thamani yako inachelewa, kwa sababu unapobalehe unakua bado masikini mpaka ujipate unaweza kuwa kwenye 30s hivi.

Ukichukua mwanamke ambae mnalingana umri maana yake mzani hauta-balance kama mpo 10s au 20s basi hautaweza kumtimizia mahitaji yake kwa sababu bado unajitafuta, na yeye ndie yupo katika age ambayo ego yake inakua kubwa anataka kupewa matunzo na attention kama malkia, possibly atakucheat na wanaume wenye hela.

Mkikutana mpo 30s hapa mwanaume unazulumiwa kwa sababu prime yako inakua juu wakati mwenzako prime yake ipo kwenye declining stage. Vile vile mwanamke anawahi kuzeeka na kuingia kwenye menopause

Ili mkutane wote thamani zenu zikiwa juu, mzeeke pamoja, na kuingia kwenye menopause katika uwiano unaolingana ni vyema ukamzidi mkeo miaka 7-10 hivi. Mtoa mada yupo sahihi
 
Umeongea kweli kuna jamaa angu kaoa demu kamazidi jamaa mwaka mmoja mi nipo naangalia jinsi atakavinchoka mapema.
Wanawake wanawahi kuzeeka
 
Watu wanabisha basi tu ila mtoa mada yupo sahihi kabisa
Mwanamke hata ukimzidi miaka 2 bado wewe utaonekana mtoto kwake at least 5 kwenda mbele
 
Tusijisikie burudani na raha kivipi? Kwani kuna mtu alinichagulia? Mnaoa vitoto halafu mkitangulia kufa ndugu zenu waseme mmeuawa na wake zenu? Unaoa kitoto kina miaka 17 wewe una miaka 49 unategemea nini hapo?

Badilisha mtazamo huo.
Miaka 17 kitoto?,we WA wapi wewe,Jana nilikua Dege beach kigamboni,madogo wa miaka 12 wapo beach na wapenzi wao wamekumbatiana
 
Miaka 23 kama ni bikira bado kijana,binti anagongwa Toka ana miaka 12 darasa la sita,amenda chuo analalwa kinyumba na wanachuo wenzake,uje wewe BOYA mmoja miaka 10 plua mbele useme eti binti ni mdogo,huu si UHANITHI huu?
 
Watu wanabisha basi tu ila mtoa mada yupo sahihi kabisa
Mwanamke hata ukimzidi miaka 2 bado wewe utaonekana mtoto kwake at least 5 kwenda mbele
Kwenye suala la kuchagua mke vijana wa leo tunakosea. Tunachagua kiholela holela kama vile sio maisha yetu, kisingizio eti mapenzi hayana kanuni.

Mwanamke umekutana nae ashaingia 30s, mwanamke umempata kibiashara na mapenzi yenaenda kibiashara, mwanamke umemkuta hana bikira, mwanamke anawaachia nafasi ya uhuru wanaume wengine na bado kijana anafanya gamble ya kuoa.

It's ok the future is uncertainty but that's not the reason for you to gamble on red flags
 
dunia hii ni tabu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…