- Thread starter
- #101
Kwani umemuoa? huyu sio wakumaliza maisha nae.Umri namba tu,Mimi mwenyewe Nina 30 afu manz Wang Ana 32 sion shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umemuoa? huyu sio wakumaliza maisha nae.Umri namba tu,Mimi mwenyewe Nina 30 afu manz Wang Ana 32 sion shida
Tafuta pesa we boyaMiaka 42, sasa angalia Ex wake wote walikua na umri gani ndo ujue kwamba umri kwa mwanamke ni muhimu sanaa.
Kwani pesa pesa inamahusiano na mada, masikini na kujificha kwenye kutafuta pesa, sio kila mtu iko kwenye hatua yako ya kutafuta pesa.......kuna mengine zaidi ya pesa we fala.Tafuta pesa we boya
Huna pesa ndo maana unatafuta pa kujificha. Kama vipi Bora uolewe tuKwani pesa pesa inamahusiano na mada, masikini na kujificha kwenye kutafuta pesa, sio kila mtu iko kwenye hatua yako ya kutafuta pesa.......kuna mengine zaidi ya pesa we fala.
Duh, umeleta picha halisi my mumy 69, father 81, ila huwezi kuona tofauti kubwa wakitembea na wakiwa wanafanya shughuri zao.Interval ni muhimu mm namzid 7 years naona ni sawa mshua anamzid bi mkubwa kama miaka 27 lkn sasa hvi ukiwatazama ni kama wanaelekeana umri mzee ana 97 mama 70
Uko sahihiWanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti na malengo ya ndoa inaojulikana.
Ukiwa na umri wa miaka 50 na mkeo iko 50 unajisikia kama umelala na mama mkwe wako kitandani, mwanamke wakifikia miaka 45 na kuendelea hubadilika kimaumbile na kifkra akili zao huhamia kwenye survival yao na watoto wanakua sexual inactive, hana jipya tena na wivu ndo unaongezeka 'women are too territorial' na age ya 45 to 60 wanaume ndio wameingia climax yao katika conjugal relations.
Madhara ya hayo yote ni dharau kugombana na ndoa kuvunjika, we mwanaume usioe mwanamke mzee kwa usalama wako wa badaye.
Ni kutozingatia tu hzi taratibu lkn kiuhalisia ukioa mwanamke mnafanana mkifika miaka 50 mwanaume unakuwa bado una nguvu wakati yeye ashaingia menopause hayuko interested sana na romantic issues huwezi kuwa proud na yeye ndo hyo unaingia kwenye kuoa vibint tenaDuh, umeleta picha halisi my mumy 69, father 81, ila huwezi kuona tofauti kubwa wakitembea na wakiwa wanafanya shughuri zao.
Mwanamke anapoingia kwenye soko la mahusiano around miaka 17 hivi thamani yake inakua juu kwa sababu yupo kwenye kilele chake cha uzuri ni tofauti na wewe mwanaume thamani yako inachelewa, kwa sababu unapobalehe unakua bado masikini mpaka ujipate unaweza kuwa kwenye 30s hivi.Raha yakuoa age mate wako mnazeeka pamoja sasa ukioa kabint ntawahi kufa nauzeeni wahuni wanakuchapia mwa mwiii
Watu wanabisha basi tu ila mtoa mada yupo sahihi kabisaMwanamke anapoingia kwenye soko la mahusiano around miaka 17 hivi thamani yake inakua juu kwa sababu yupo kwenye kilele chake cha uzuri ni tofauti na wewe mwanaume thamani yako inachelewa, kwa sababu unapobalehe unakua bado masikini mpaka ujipate unaweza kuwa kwenye 30s hivi.
Ukichukua mwanamke ambae mnalingana umri maana yake mzani hauta-balance kama mpo 10s au 20s basi hautaweza kumtimizia mahitaji yake kwa sababu bado unajitafuta, na yeye ndie yupo katika age ambayo ego yake inakua kubwa anataka kupewa matunzo na attention kama malkia, possibly atakucheat na wanaume wenye hela.
Mkikutana mpo 30s hapa mwanaume unazulumiwa kwa sababu prime yako inakua juu wakati mwenzako prime yake ipo kwenye declining stage. Vile vile mwanamke anawahi kuzeeka na kuingia kwenye menopause
Ili mkutane wote thamani zenu zikiwa juu, mzeeke pamoja, na kuingia kwenye menopause katika uwiano unaolingana ni vyema ukamzidi mkeo miaka 7-10 hivi. Mtoa mada yupo sahihi
Miaka 17 kitoto?,we WA wapi wewe,Jana nilikua Dege beach kigamboni,madogo wa miaka 12 wapo beach na wapenzi wao wamekumbatianaTusijisikie burudani na raha kivipi? Kwani kuna mtu alinichagulia? Mnaoa vitoto halafu mkitangulia kufa ndugu zenu waseme mmeuawa na wake zenu? Unaoa kitoto kina miaka 17 wewe una miaka 49 unategemea nini hapo?
Badilisha mtazamo huo.
Miaka 23 kama ni bikira bado kijana,binti anagongwa Toka ana miaka 12 darasa la sita,amenda chuo analalwa kinyumba na wanachuo wenzake,uje wewe BOYA mmoja miaka 10 plua mbele useme eti binti ni mdogo,huu si UHANITHI huu?Mkuu usiende katika extreme mke wa 17 bado ni mtoto huwezi kumuoa na mtu wa 49, lakini mke 23 kwa 33 sio mbaya hiyo age difference ni supportive, wengi wanaenda kanisani hawataki kutangulizana na wake zao kisa wake zao wamesha kua ma bibi wakati wao bado kabisa........chagua mke unoa mzidi umri kuanzia 5 hadi 10yrs kwa usalama wako wa badaye.
😅😅Wazee wa "Kataa Ndoa" tayari wameufikia uzi.KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Kwenye suala la kuchagua mke vijana wa leo tunakosea. Tunachagua kiholela holela kama vile sio maisha yetu, kisingizio eti mapenzi hayana kanuni.Watu wanabisha basi tu ila mtoa mada yupo sahihi kabisa
Mwanamke hata ukimzidi miaka 2 bado wewe utaonekana mtoto kwake at least 5 kwenda mbele
dunia hii ni tabu tupuWanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti na malengo ya ndoa inaojulikana.
Ukiwa na umri wa miaka 50 na mkeo iko 50 unajisikia kama umelala na mama mkwe wako kitandani, mwanamke wakifikia miaka 45 na kuendelea hubadilika kimaumbile na kifkra akili zao huhamia kwenye survival yao na watoto wanakua sexual inactive, hana jipya tena na wivu ndo unaongezeka 'women are too territorial' na age ya 45 to 60 wanaume ndio wameingia climax yao katika conjugal relations.
Madhara ya hayo yote ni dharau kugombana na ndoa kuvunjika, we mwanaume usioe mwanamke mzee kwa usalama wako wa badaye.
Maamuzi ni wewe, ata kabrini ni tabu tupu........dunia hii ni tabu tupu