Sasa kama waliowapenda wamewatema kwa uzembe wao, inabidi wachukue huyohuyo wasiyempenda.Na Asilimia Kubwa ya Wanaume walioko kwenye Ndoa Wameoa Wanawake Wasiowapenda.. yaani wale Waliowaona siyo type Yao, wale Waliowaona ni Wa kuchapa na kusepa ndo wameishia kuwaoa na Kuwa Mama wa Watoto wao.
Mapenzi hayana Formula.
Mengi uloyaandika ni eidha umeandika baada ya kutendwa au iahu inayofanana na hiyo.
Nachoamini mimi ni kua usimhudumie mwanamke wala kujitoa sana kwake kiasi kwamba ukavunja utu wako, ama lah ukafanya jambo ambalo ikitokea umeachwa/kuachana litakuumiza sana. Yaani kwa kifupi usifanye mambo ambayo baadae yanaweza kukuumiza.
Kua nice guy lakini sio saana, kua mkali kiasi, jali kiasi ivo tu mbona utaenjoy sana. I
unajuona basi we ndo unayajua mapenzi kuliko mtu yeyote duniani au sio
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes naenjoy kua nice guy so huwa nafanya ivo.Usijaribu kuwa nice hata mara moja