Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

Huyu jamaa kaandika tabia zanGu na mFumo wanGu wa maisHa kwa ujumla

Nilikulia katika ulimwenGu wa kuwa busy sana hadi She" walikuwa wananiona nalinga kumbe ni mifumo endeshi tu

Watu wengi hawajazoea haya maisha wanaweza wakakuona unapingana na haki za wanawake lakini kumbe ni utaratibu uliokuwepo tangu mwanzo wa maisha ya mwanadamu, mwanaume kama kiongozi kama mtawala na ulikuwepo hasa nyakati za wafalme.
 
Nmekuelewa na wala sikupingi mkuu, iahu ni kua mi naenjoy kua nice sometimes. Siwezi kua hivo unavosema all the time, sipendi kuogopwa napenda mtu afurahie uwepo wangu japo si mala zote ntakua hivyo.
 
Nmekuelewa na wala sikupingi mkuu, iahu ni kua mi naenjoy kua nice sometimes. Siwezi kua hivo unavosema all the time, sipendi kuogopwa napenda mtu afurahie uwepo wangu japo si mala zote ntakua hivyo.

Kutokuwa nice hakukufanyi uogopeke ni jambo tu la kusimamia kile unachokiamini, kutokukubali kutumika kwa faida za wengine na kutokuwa needy. Ukiwa dictator ndo utafanya uogopeke sasa hii ni tofauti na udictator.
 
H
Siwezi kua kua kauzu all the time bro. Au labda unice unaoongelewa hapa ni kama upi??

Ukauzu hauhusiani hapa mkuu, mfano kumtimizia kila kitu mwanamke anachotaka kila anapokuomba hata kama unahisi unapigwa huo ndo unice, kwenye maisha pia kuna watu wanaweza kukuona una utaalamu wa kitu flani basi watataka wakutumie halafu wakulipe kidogo au wasikulipe, ukiruhusu hilo unakuwa nice, yani wewe always unakuwa mwema hauwezi kusema hapana.

Unaweza ukacheka na watu vizuri na kuongea na watu vizuri lakini ukawa sio nice guy kwa sababu una misimamo yako, watu haohao hawawezi wakakuendesha wanavyotaka. Kwa mfano kwenye jamii kuna watu wanafahamika ni wakarimu lakini watu wanafahamu kabisa kwamba hao majamaa ni watulivu lakini ukiwakorofisha unaona moto wao, huko ndo kutokuwa nice tunakokuzungumzia.
 
Kwa hapo mkuu ni vigumu kutokua nice guy kwasababu sio rahisi kwa mtu kutoa kitu huku akijua kabisa hapa napigwa sasa huo sio unice ni uzuzu na upumbavu kabisa.

Mi nilidhani ni ile kutoendeshwa na mtu, mfano kwenye mahusiano wewe kama mwanaume hutakiwa kua mtu unaejarii saana, sometimes shida zake ajitatulie mwenyewe , usijipe majukumu ya mzazi kama hujaoa.
Ila hapo unaposema kua kutoa pesa huku unajua unapigwa, si rahisi kujua kama unapigwa kikubwa tu uwe na misimamo yako na wala usitoe kiasi ambacho ikitokea ndivyo sivyo itakuumiza.
 

Na kwanini umpe pesa hujamwoa, kwanini uwekeze before?
 
Hasa jamii hii ya kiAfrika

Kitu sipendi kwa hawa wanawake ni kudhani wao ni watoa huduma na si sehemu ya kitu wanacho hitaji na wao,wakikubali kushiriki mapenzi na mwanamume wao wanawaza kupewa pesa tu,yaani mtoa mada namuunga mikono na miguu
Kha!khaa!!!, Yaani unamkabidhi mikono na miguu Mwanaume mwenzio??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kwanini umpe pesa hujamwoa, kwanini uwekeze before?
Nope sio kuwekeza, wanaowekeza ndo huumia. Kama mimi hua nasaidia kama vile ambavyo ningemsaidia rafiki yangu bila kutarajia chochote toka kwake.

Kama ni kiasi kikubwa ambacho labda ni hadi nimkopee hapo siwezi kumpa ntamwambia sina.
 
Na Asilimia Kubwa ya Wanaume walioko kwenye Ndoa Wameoa Wanawake Wasiowapenda.. yaani wale Waliowaona siyo type Yao, wale Waliowaona ni Wa kuchapa na kusepa ndo wameishia kuwaoa na Kuwa Mama wa Watoto wao.
Upo sahihi Sana Mkuu
 
Sure.
 
[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
 
Yani ninacho kijua Mimi ukitoa kwa mtu unaempenda kitu hata kiwe Cha thamani kiasi gani huwez umia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…