Nope sio kuwekeza, wanaowekeza ndo huumia. Kama mimi hua nasaidia kama vile ambavyo ningemsaidia rafiki yangu bila kutarajia chochote toka kwake.
Kama ni kiasi kikubwa ambacho labda ni hadi nimkopee hapo siwezi kumpa ntamwambia sina.
Mwanamke ni Kama kivuli.Ukikifuata kinakukimbia na ukikimbia kinakufuata. Nakubaliana na ushauri wa mtoa Post.Wewe utakuwa ni mdau wa clip za Far From Average maana umepita mule mule. Anyway dawa ya mwanamke ni kutojishughulisha naye wewe fanya mambo yako ikiwa ni pamoja na kumtaka, ila usijishughulishe naye mchukulie poa tu, mpe respect yake alafu fanya mambo yako.
Kubwa kuliko yote usifuate miiko ya kwenye jamii wewe fuata mambo yako tu. Yaani kimsingi kuwa wewe.
Hata hivyo yupo sahihi kwa jambo moja la msingi: mwanamke hawezi kuvutiwa kimapenzi (sexual attraction) na mwanaume anayejiweka too cheap, too much available. Hiyo kanuni ni proven.Narudia tena, user guide (instruction manual) ya mahusiano bado haijachapishwa, haipo. Wakati tunaendelea kuisubiria, hizi habari ziendelee kutengeneza njia...
Hata hivyo yupo sahihi kwa jambo moja la msingi: mwanamke hawezi kuvutiwa kimapenzi (sexual attraction) na mwanaume anayejiweka too cheap, too much available. Hiyo kanuni ni proven.
Kama nilivosema awali mkuu, simsaidii ili na yeye anisaidie ila namsaidia kwakua icho kitu nna uwezo nacho na nikimoa sitapungukiwa kitu na sitayumba kwenye mambo yangu.Vipi na yeye anakusaidia ukikwama? Au yeye ni mtu wa kupokea tu
Swali la msingi sana hiliVipi na yeye anakusaidia ukikwama? Au yeye ni mtu wa kupokea tu
Hatuna like humuNimekuchapa bonge la like mkuu
Ningekua na Id nyingine huu uzi ungepaa
All in all this is the best thread Tangu nimejoin jamiiforums.
Hujui tu, hata wenye hela wanateswa sana na mapenzi.Yaani usipokuwa na hela, unakuwa mwandishi mzuri sana wa riwaya za mapenzi....[emoji16][emoji16]
Tukubali tu mambo yamebadilika, ulimbo wa kizungu ndio mpango mzima kwa sasa...
Hujui tu , hata wenye hela wanateswa sana na mapenzi.