Mwanaume usiwajali watoto zaidi ya anavyowajali Mama Yao(mke wako)

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
MWANAUME USIWAJALI WATOTO KAMA ANAVYOWAJALI MAMA YAO(MKE WAKO).

Anaandika, Robert Heriel.

Baadhi ya watu wamekuwa wakinitumia ujumbe kuniomba ushauri kuhusu masuala Yao ya kindoa, malalamiko makubwa ya wanaume ni kuwa Wake zao wanawasumbua, kivipi? Ujeuri, kiburi, mdomo, umalaya, mashindano, miongoni mwa sababu Kama hizo. Taikon huwaga ushauri wangu ni mmoja ambao ni huu; Mwanamke kama hakuheshimu FUKUZA wala usifikiri mara mbilimbili. Kama unauwezo wa kuteua basi pia unauwezo wa kutengua.

Ushauri huo wengi huingiza hoja ya watoto. Ohoo! Ninawatoto naye wawili sijui watatu. Pumbavu! Hata wawe watoto Mia moja Fukuza mke Mpumbavu asiye kuheshimu. Kama yeye ambaye ndiye Mama hajali watoto wake, hafikirii itakuwaje mkiachana, haoni Kama watapata shida, wewe ni Nani uwajali watoto kuliko Mama Yao. Fukuza! Aking'ang'ania watoto muachie aende nao.

Kuliko uishi na Mwanamke asiyekuheshimu ni Bora uishi mwenyewe, yaani ushindwe kufanya mambo yako kisa Mpumbavu, huo ni udhaifu.

Vijana wa Zama hizi, nisikilizeni vizuri. Kuna mambo matatu ambayo unapaswa uyalinde katika maisha yako;
1. Linda heshima ya Mungu wako unayemuamini.
2. Linda heshima ya Uanaume wako.
Ukilinda heshima ya Mungu wako automatically utaweza kulinda heshima yako kama Mwanaume. Mungu/Nature ndio awe Role model wako.
Mungu ukimvunjia heshima lazima akuwashe.

3. Linda Heshima ya nchi yako.
Ukilinda uanaume wako automatically utaweza kulinda nchi yako.

Hayo matatu kuwa tayari kufa Kwa ajili ya hayo. Hakuna mjadala katika mambo hayo.

Vijana wa siku hizi mnakwama Kwa sababu ya roho nyepesi za kipuuzi puuzi, kijana anacover ya kiume lakini ndani moyo wa kike. Roho ngumu, maamuzi magumu, matokeo magumu lazima uwe nayo na uweze kukabiliana nayo.

Kuna faida mara elfu kulinda hayo niliyoyasema, kuna hasara mara elfu kuyapuuza nisemayo. Hasa nyakati za Uzeeni.

Mwambie mwanamke kuwa kama anashindwa kuwathamini watoto aliowabeba Kwa miezi tisa na kuwazaa Kwa uchungu mwambie wewe huna sababu ya kuwajali.
Mwanamke ndiye anatakiwa awe na hofu watoto wake wataishije sio wewe ndio uwe na hiyo hofu.

Toto likiwa jeuri na limefikisha umri wa kuondoka nyumbani FUKUZA! Hivyo ndivyo mambo yanavyoendeshwa!

Biblia inaeleza kuwa Baba yetu WA mbinguni alitufukuza katika Bustani ya Edeni kutokana na kuwa wakaidi.

Watoto wajue kuwa Baba hutaki mambo ya kipuuzi na hutamvumilia yeyote ambaye atavuka mstari mwekundu.
Sio Baba mzima unalia Lia na kulalamika Kama mpuuzi, ati Baba anaenda kushtaki mkewe au watoto wake Kwa watu wengine, huo ni upuuzi!

Linapokuja suala la mtu kuvuka mstari usijali yeyote na usijali matokeo.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Asante sana kuanzia leo nakupa cheo rasmi Cha msemaji wetu wanaume humu ndani kwani unaupiga mwingi kidizaini.

Kuna ndugu waligombana na mkewe kisa mdomo na kauli za mke walivyoachana eti MKE kaacha watoto wanne kwake kachukua vyombo vyote na vitu vingine kaenda kukaa kwa baba yake. Ujinga asee MWanamke ana roho mbaya haonei huruma watoto wake kwamba waendelee kuwa kwao Huku wakitumia vyombo vyao ndugu yangu huyu aKavuta mke mwingine fresh tu nikikutana mama wanae mzazi mwenziwe naona kbs ana msongo wa mawazo kwani alikuwaga mweupe now kawa mweusi kinyama.

Mimi nilioa mke kimtindo sio ndoa kbs Bali Karibu tupike siku moja akanitukana na dharau kibao ilibidi nipige chini nahisi Mungu kaniepusha mengi kwani ningekuja kuua dakika ya mwisho mke kaambiwa anidai hela ya fidia nami nikamwambia mama mkwe fresh nitailipa ila now kazi ngumu kwa sababu ya Vita ya Ukraine na urrusi.....mwisho wa mwezi ukifika namwambia Kuna Vita nyingine ya China na taiwani.....ila kiustarabu nitalipa mdogo mdogo ili mambo yasiwe makubwa fidia yenyewe sio kubwa laki mbili TU.
 
MWANAUME USIWAJALI WATOTO KAMA ANAVYOWAJALI MAMA YAO(MKE WAKO).

Anaandika, Robert Heriel.

Baadhi ya watu wamekuwa wakinitumia ujumbe kuniomba ushauri kuhusu masuala Yao ya kindoa, malalamiko makubwa ya wanaume ni kuwa Wake zao wanawasumbua, kivipi? Ujeuri, kiburi, mdomo, umalaya, mashindano, miongoni mwa sababu Kama hizo. Taikon huwaga ushauri wangu ni mmoja ambao ni huu; Mwanamke kama hakuheshimu FUKUZA wala usifikiri mara mbilimbili. Kama unauwezo wa kuteua basi pia unauwezo wa kutengua.
Swali: Kati ya kiongozi na muongozwaji nani anahitajika awe na hekima, busara na maarifa zaidi???

Swali:
Kwenye kufanya maamuzi muhimu na mazito nani anatakiwa kuwa mtulivu kati ya kiongozi na muongozwaji???

Swali:
Nani anatakiwa aangalie yajayo(future) kati ya kiongozi na muongozwaji??

Nb: Hoja yako imejaa papara,mhemko,kiburi, majivuno n.k hali ambayo imepelekea kukosa mantiki!!!! Fukuza, fukuza, fukuza, fukuza!!!!Eti ndiyo maamuzi ya kiume!!!!
 
Anaandika vitu vya kitoto sana, inaonekana kametoka kubalehe juzi juzi
 
Asante sana kuanzia leo nakupa cheo rasmi Cha msemaji wetu wanaume humu ndani kwani unaupiga mwingi kidizaini.

Kuna ndugu waligombana na mkewe kisa mdomo na kauli za mke walivyoachana eti MKE kaacha watoto wanne kwake kachukua vyombo vyote na vitu vingine kaenda kukaa kwa baba yake. Ujinga asee MWanamke ana roho mbaya haonei huruma watoto wake kwamba waendelee kuwa kwao Huku wakitumia vyombo vyao ndugu yangu huyu aKavuta mke mwingine fresh tu nikikutana mama mzazi wake naona kbs ana msongo wa mawazo kwani alikuwaga mweupe now kawa mweusi kinyama.

Mimi nilioa mke kimtindo sio ndoa kbs Bali Karibu tupike siku moja akanitukana na dharau kibao ilibidi nipige chini nahisi Mungu kaniepusha mengi kwani ningekuja kuua dakika ya mwisho mke kaambiwa anidai hela ya fidia nami nikamwambia mama mkwe fresh nitailipa ila now kazi ngumu kwa sababu ya Vita ya Ukraine na urrusi.....mwisho wa mwezi ukifika namwambia Kuna Vita nyingine ya China na taiwani.....ila kiustarabu nitalipa mdogo mdogo ili mambo yasiwe makubwa fidia yenyewe sio kubwa laki mbili TU.

Fidia ya nini boss?
 
Swali: Kati ya kiongozi na muongozwaji nani anahitajika awe na hekima, busara na maarifa zaidi???

Swali:
Kwenye kufanya maamuzi muhimu na mazito nani anatakiwa kuwa mtulivu kati ya kiongozi na muongozwaji???

Swali:
Nani anatakiwa aangalie yajayo(future) kati ya kiongozi na muongozwaji??

Nb: Hoja yako imejaa papara,mhemko,kiburi, majivuno n.k hali ambayo imepelekea kukosa mantiki!!!! Fukuza, fukuza, fukuza, fukuza!!!!Eti ndiyo maamuzi ya kiume!!!!
Ubishi wako ndio unaofanya mpaka leo ukose bwana wa kufa na kuzikana😂😂
 
Joyce kiria atawaponza..mchana anawafundisha ujinga...usiku yuko na mmewe
 
Ubishi wako ndio unaofanya mpaka leo ukose bwana wa kufa na kuzikana😂😂
Unaona sasa unapingana na mtoa mada??? Yeye anasema fukuza, fukuza, fukuza!! Wewe wa kufa na kuzikana!!! Tangu lini wakufa na kuzikana akafukuzwa???

Nb: Umejuaje mimi ni mwanamke???
 
MWANAUME USIWAJALI WATOTO KAMA ANAVYOWAJALI MAMA YAO(MKE WAKO).

Anaandika, Robert Heriel.
Wenye roho Ngumu kama sisi tuko wachache, wanawake watakwambia ooh unanyanyasa lakini ukimwambia nenda Kwa wasionyanyasa maana unakutana nao kibao huko njiani kamwe hawezi kuondoka..

Mtu anatongoza Mwanamke anabembeleza na kujionesha ana shida sana sijui kapenda sana lazima alone moto kwa mwanamke 😆😆..

Hao Ndio huwa wanajinuknga sasa afu wanasingizia shetani na kusema eti hayajakufika sijui na blaa blaa zingine.
 
Asante sana kuanzia leo nakupa cheo rasmi Cha msemaji wetu wanaume humu ndani kwani unaupiga mwingi kidizaini.

Kuna ndugu waligombana na mkewe kisa mdomo na kauli za mke walivyoachana eti MKE kaacha watoto wanne kwake kachukua vyombo vyote na vitu vingine kaenda kukaa kwa baba yake. Ujinga asee MWanamke ana roho mbaya haonei huruma watoto wake kwamba waendelee kuwa kwao Huku wakitumia vyombo vyao ndugu yangu huyu aKavuta mke mwingine fresh tu nikikutana mama wanae mzazi mwenziwe naona kbs ana msongo wa mawazo kwani alikuwaga mweupe now kawa mweusi kinyama.

Mimi nilioa mke kimtindo sio ndoa kbs Bali Karibu tupike siku moja akanitukana na dharau kibao ilibidi nipige chini nahisi Mungu kaniepusha mengi kwani ningekuja kuua dakika ya mwisho mke kaambiwa anidai hela ya fidia nami nikamwambia mama mkwe fresh nitailipa ila now kazi ngumu kwa sababu ya Vita ya Ukraine na urrusi.....mwisho wa mwezi ukifika namwambia Kuna Vita nyingine ya China na taiwani.....ila kiustarabu nitalipa mdogo mdogo ili mambo yasiwe makubwa fidia yenyewe sio kubwa laki mbili TU.
Inaanza na makofi ukiona hasikii fukuza usije kuua ukaishia jela.
 
Siyo ajabu huyu nae selekali imetenga bajeti kwa ajili ya kumhesabu ok nisipinge mawazo yake Ana family au ndo anaishi kwa meji anyway Mungu Ni fundi Na Ana njia nyingi za kutuprove wrong sisi binadamu
 
Swali: Kati ya kiongozi na muongozwaji nani anahitajika awe na hekima, busara na maarifa zaidi???

Swali:
Kwenye kufanya maamuzi muhimu na mazito nani anatakiwa kuwa mtulivu kati ya kiongozi na muongozwaji???

Swali:
Nani anatakiwa aangalie yajayo(future) kati ya kiongozi na muongozwaji??

Nb: Hoja yako imejaa papara,mhemko,kiburi, majivuno n.k hali ambayo imepelekea kukosa mantiki!!!! Fukuza, fukuza, fukuza, fukuza!!!!Eti ndiyo maamuzi ya kiume!!!!

Huwezi nielewa mpaka ufikishe miaka 60 Kwa akili yako
 
Wenye roho Ngumu kama sisi tuko wachache, wanawake watakwambia ooh unanyanyasa lakini ukimwambia nenda Kwa wasionyanyasa maana unakutana nao kibao huko njiani kamwe hawezi kuondoka..

Mtu anatongoza Mwanamke anabembeleza na kujionesha ana shida sana sijui kapenda sana lazima alone moto kwa mwanamke 😆😆..

Hao Ndio huwa wanajinuknga sasa afu wanasingizia shetani na kusema eti hayajakufika sijui na blaa blaa zingine.

Ujinga tuu
 
Back
Top Bottom