Mwanaume usiwajali watoto zaidi ya anavyowajali Mama Yao(mke wako)

Mwanaume usiwajali watoto zaidi ya anavyowajali Mama Yao(mke wako)

Unaongelea handsome hawahawa wanaojilamba lips? Waliwahi kuwa na hela lini?
Weye ndo hujui! Ma handsome wengi wanatoka familia za kitajiri viongozi wakubwaaa wenye pesa... kwa sababu matajiri ndo hupenda kutumia ke warembo!!

Angalia tu Ma- CD wanavo tambaa na kipindi cha Bunge! na wamezaa na viongozi/mawaziri/wabunge si kitoto. kila mbunge unaye mjua kazaa na cd!.........wanasomesha watoto wao mpka mbali hukoooo!

Watoto wale wanapata connection si kawaida, wanapaa kielimu wacha kabisa! wapo Madaktari Wakali, wahasibu. ma HR, wazuri wa umbo, na Elimu humo Maofosini ni utakaa chini!...ubini wa Baba zao!
 
Wife alileta dharau siku moja nikamwambia sipendi dharau na maneno ya kejeli nikamwambia ondoka akawa haamini nikawa gari langu nikaanza kumkusanyia nguo zake yeye mwenyewe alipiga magoti na kuomba msamaha...
 
nipo kazin nikurudi home natimua ile mang'aa , ina mdomo mrefu kma ndege john , Umenikumbusha Mungu alipowatimua adamu na hawa mimi ni nan hata nisitimue!????
 
Weye ndo hujui! Ma handsome wengi wanatoka familia za kitajiri viongozi wakubwaaa wenye pesa... kwa sababu matajiri ndo hupenda kutumia ke warembo!!

Angalia tu Ma- CD wanavo tambaa na kipindi cha Bunge! na wamezaa na viongozi/mawaziri/wabunge si kitoto. kila mbunge unaye mjua kazaa na cd!.........wanasomesha watoto wao mpka mbali hukoooo!

Watoto wale wanapata connection si kawaida, wanapaa kielimu wacha kabisa! wapo Madaktari Wakali, wahasibu. ma HR, wazuri wa umbo, na Elimu humo Maofosini ni utakaa chini!...ubini wa Baba zao!
Umekariri, siyo kila mbunge au waziri amezaa nje ya ndoa, hii methodology sample umeipataje?
 
methodology sample umeipataje?
Yaani Simple tu Mkuu!! Physically cha utundu fanya hivi; pigilia Make up! na angel face, nyoa mindevu hiyooo!! tunisha kwa kujazilishia vitako vyako ivo!! ongea kike kike!!! utaona maaajabu!!

mawaziri wooote unaowajua nakwambia watakuja kwako kutapanya mipesa km yote hasa ukionekana demu mpya!...lkn inabidi uwaonjoshe kidogo!..

Sasa jitahidi tu hata kwa kupaka mafuta kidooogo!! af jifanye imetelezea kwa Mpalange! huko huko Muuunganishie!.....hapo kamwe hakuachiii! wanakuwa wamelewa wale!
 
Mental case.
 
Mental case.
Ewaaa!! wewe umenipata uzuri kabisaa!! ajifanye km Mental case!! ila asiwe ya ukweli! wata mla sana! af atanogewa na hela....... una akili sana wewe! unakunywa soda gani Mkuu?
 
Ewaaa!! wewe umenipata uzuri kabisaa!! ajifanye km Mental case!! ila asiwe ya ukweli! wata mla sana! af atanogewa na hela....... una akili sana wewe! unakunywa soda gani Mkuu?
Wahi matibabu.
 
Attachments

  • FB_IMG_1661713953336.jpg
    FB_IMG_1661713953336.jpg
    17.8 KB · Views: 18
MWANAUME USIWAJALI WATOTO KAMA ANAVYOWAJALI MAMA YAO(MKE WAKO).

Anaandika, Robert Heriel.

Baadhi ya watu wamekuwa wakinitumia ujumbe kuniomba ushauri kuhusu masuala Yao ya kindoa, malalamiko makubwa ya wanaume ni kuwa Wake zao wanawasumbua, kivipi? Ujeuri, kiburi, mdomo, umalaya, mashindano, miongoni mwa sababu Kama hizo. Taikon huwaga ushauri wangu ni mmoja ambao ni huu; Mwanamke kama hakuheshimu FUKUZA wala usifikiri mara mbilimbili. Kama unauwezo wa kuteua basi pia unauwezo wa kutengua.

Ushauri huo wengi huingiza hoja ya watoto. Ohoo! Ninawatoto naye wawili sijui watatu. Pumbavu! Hata wawe watoto Mia moja Fukuza mke Mpumbavu asiye kuheshimu. Kama yeye ambaye ndiye Mama hajali watoto wake, hafikirii itakuwaje mkiachana, haoni Kama watapata shida, wewe ni Nani uwajali watoto kuliko Mama Yao. Fukuza! Aking'ang'ania watoto muachie aende nao.

Kuliko uishi na Mwanamke asiyekuheshimu ni Bora uishi mwenyewe, yaani ushindwe kufanya mambo yako kisa Mpumbavu, huo ni udhaifu.

Vijana wa Zama hizi, nisikilizeni vizuri. Kuna mambo matatu ambayo unapaswa uyalinde katika maisha yako;
1. Linda heshima ya Mungu wako unayemuamini.
2. Linda heshima ya Uanaume wako.
Ukilinda heshima ya Mungu wako automatically utaweza kulinda heshima yako kama Mwanaume. Mungu/Nature ndio awe Role model wako.
Mungu ukimvunjia heshima lazima akuwashe.

3. Linda Heshima ya nchi yako.
Ukilinda uanaume wako automatically utaweza kulinda nchi yako.

Hayo matatu kuwa tayari kufa Kwa ajili ya hayo. Hakuna mjadala katika mambo hayo.

Vijana wa siku hizi mnakwama Kwa sababu ya roho nyepesi za kipuuzi puuzi, kijana anacover ya kiume lakini ndani moyo wa kike. Roho ngumu, maamuzi magumu, matokeo magumu lazima uwe nayo na uweze kukabiliana nayo.

Kuna faida mara elfu kulinda hayo niliyoyasema, kuna hasara mara elfu kuyapuuza nisemayo. Hasa nyakati za Uzeeni.

Mwambie mwanamke kuwa kama anashindwa kuwathamini watoto aliowabeba Kwa miezi tisa na kuwazaa Kwa uchungu mwambie wewe huna sababu ya kuwajali.
Mwanamke ndiye anatakiwa awe na hofu watoto wake wataishije sio wewe ndio uwe na hiyo hofu.

Toto likiwa jeuri na limefikisha umri wa kuondoka nyumbani FUKUZA! Hivyo ndivyo mambo yanavyoendeshwa!

Biblia inaeleza kuwa Baba yetu WA mbinguni alitufukuza katika Bustani ya Edeni kutokana na kuwa wakaidi.

Watoto wajue kuwa Baba hutaki mambo ya kipuuzi na hutamvumilia yeyote ambaye atavuka mstari mwekundu.
Sio Baba mzima unalia Lia na kulalamika Kama mpuuzi, ati Baba anaenda kushtaki mkewe au watoto wake Kwa watu wengine, huo ni upuuzi!

Linapokuja suala la mtu kuvuka mstari usijali yeyote na usijali matokeo.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Natumaini kulinda heshima ya "uanamume"haihusishi kupiga mke mpaka ukajeruhi au kuua akichelewa kurudi kutoka kwenye vikoba,huo ni udhaifu mkubwa.
 
Back
Top Bottom