Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kichwa cha habari kisichozidi maneno matano
MAAMUZI MAGUMU YA MWANAUME
Swali: Kati ya kiongozi na muongozwaji nani anahitajika awe na hekima, busara na maarifa zaidi???MWANAUME USIWAJALI WATOTO KAMA ANAVYOWAJALI MAMA YAO(MKE WAKO).
Anaandika, Robert Heriel.
Baadhi ya watu wamekuwa wakinitumia ujumbe kuniomba ushauri kuhusu masuala Yao ya kindoa, malalamiko makubwa ya wanaume ni kuwa Wake zao wanawasumbua, kivipi? Ujeuri, kiburi, mdomo, umalaya, mashindano, miongoni mwa sababu Kama hizo. Taikon huwaga ushauri wangu ni mmoja ambao ni huu; Mwanamke kama hakuheshimu FUKUZA wala usifikiri mara mbilimbili. Kama unauwezo wa kuteua basi pia unauwezo wa kutengua.
Anaandika vitu vya kitoto sana, inaonekana kametoka kubalehe juzi juziSwali: Kati ya kiongozi na muongozwaji nani anahitajika awe na hekima, busara na maarifa zaidi???
Swali: Kwenye kufanya maamuzi muhimu na mazito nani anatakiwa kuwa mtulivu kati ya kiongozi na muongozwaji???
Swali: Nani anatakiwa aangalie yajayo(future) kati ya kiongozi na muongozwaji??
Nb: Hoja yako imejaa papara,mhemko,kiburi, majivuno n.k hali ambayo imepelekea kukosa mantiki!!!! Fukuza, fukuza, fukuza, fukuza!!!!Eti ndiyo maamuzi ya kiume!!!!
Asante sana kuanzia leo nakupa cheo rasmi Cha msemaji wetu wanaume humu ndani kwani unaupiga mwingi kidizaini.
Kuna ndugu waligombana na mkewe kisa mdomo na kauli za mke walivyoachana eti MKE kaacha watoto wanne kwake kachukua vyombo vyote na vitu vingine kaenda kukaa kwa baba yake. Ujinga asee MWanamke ana roho mbaya haonei huruma watoto wake kwamba waendelee kuwa kwao Huku wakitumia vyombo vyao ndugu yangu huyu aKavuta mke mwingine fresh tu nikikutana mama mzazi wake naona kbs ana msongo wa mawazo kwani alikuwaga mweupe now kawa mweusi kinyama.
Mimi nilioa mke kimtindo sio ndoa kbs Bali Karibu tupike siku moja akanitukana na dharau kibao ilibidi nipige chini nahisi Mungu kaniepusha mengi kwani ningekuja kuua dakika ya mwisho mke kaambiwa anidai hela ya fidia nami nikamwambia mama mkwe fresh nitailipa ila now kazi ngumu kwa sababu ya Vita ya Ukraine na urrusi.....mwisho wa mwezi ukifika namwambia Kuna Vita nyingine ya China na taiwani.....ila kiustarabu nitalipa mdogo mdogo ili mambo yasiwe makubwa fidia yenyewe sio kubwa laki mbili TU.
Nilimtoa kwenye kazi zake nikamuhamishia kwangu so ile ndo imekuwa gear Yao maana kwa madai ya binti alipanga ile kazi mlipe hela ya kitanda na godoro...kazi ya ubeki 3...kusini kunachekesha umaskini mbaya mkuu Ila kwa kuwa kweli ustarabu muhimu acha niilipe TU.Fidia ya nini boss?
Ubishi wako ndio unaofanya mpaka leo ukose bwana wa kufa na kuzikanaππSwali: Kati ya kiongozi na muongozwaji nani anahitajika awe na hekima, busara na maarifa zaidi???
Swali: Kwenye kufanya maamuzi muhimu na mazito nani anatakiwa kuwa mtulivu kati ya kiongozi na muongozwaji???
Swali: Nani anatakiwa aangalie yajayo(future) kati ya kiongozi na muongozwaji??
Nb: Hoja yako imejaa papara,mhemko,kiburi, majivuno n.k hali ambayo imepelekea kukosa mantiki!!!! Fukuza, fukuza, fukuza, fukuza!!!!Eti ndiyo maamuzi ya kiume!!!!
Joyce kiria atawaponza..mchana anawafundisha ujinga...usiku yuko na mmeweSwali: Kati ya kiongozi na muongozwaji nani anahitajika awe na hekima, busara na maarifa zaidi???
Swali: Kwenye kufanya maamuzi muhimu na mazito nani anatakiwa kuwa mtulivu kati ya kiongozi na muongozwaji???
Swali: Nani anatakiwa aangalie yajayo(future) kati ya kiongozi na muongozwaji??
Nb: Hoja yako imejaa papara,mhemko,kiburi, majivuno n.k hali ambayo imepelekea kukosa mantiki!!!! Fukuza, fukuza, fukuza, fukuza!!!!Eti ndiyo maamuzi ya kiume!!!!
Unaona sasa unapingana na mtoa mada??? Yeye anasema fukuza, fukuza, fukuza!! Wewe wa kufa na kuzikana!!! Tangu lini wakufa na kuzikana akafukuzwa???Ubishi wako ndio unaofanya mpaka leo ukose bwana wa kufa na kuzikanaππ
Angalia maswali yanahitaji majibu gani .Punguza mhemko, papara na kiburi!!!!Joyce kiria atawaponza..mchana anawafundisha ujinga...usiku yuko na mmewe
Wenye roho Ngumu kama sisi tuko wachache, wanawake watakwambia ooh unanyanyasa lakini ukimwambia nenda Kwa wasionyanyasa maana unakutana nao kibao huko njiani kamwe hawezi kuondoka..MWANAUME USIWAJALI WATOTO KAMA ANAVYOWAJALI MAMA YAO(MKE WAKO).
Anaandika, Robert Heriel.
Inaanza na makofi ukiona hasikii fukuza usije kuua ukaishia jela.Asante sana kuanzia leo nakupa cheo rasmi Cha msemaji wetu wanaume humu ndani kwani unaupiga mwingi kidizaini.
Kuna ndugu waligombana na mkewe kisa mdomo na kauli za mke walivyoachana eti MKE kaacha watoto wanne kwake kachukua vyombo vyote na vitu vingine kaenda kukaa kwa baba yake. Ujinga asee MWanamke ana roho mbaya haonei huruma watoto wake kwamba waendelee kuwa kwao Huku wakitumia vyombo vyao ndugu yangu huyu aKavuta mke mwingine fresh tu nikikutana mama wanae mzazi mwenziwe naona kbs ana msongo wa mawazo kwani alikuwaga mweupe now kawa mweusi kinyama.
Mimi nilioa mke kimtindo sio ndoa kbs Bali Karibu tupike siku moja akanitukana na dharau kibao ilibidi nipige chini nahisi Mungu kaniepusha mengi kwani ningekuja kuua dakika ya mwisho mke kaambiwa anidai hela ya fidia nami nikamwambia mama mkwe fresh nitailipa ila now kazi ngumu kwa sababu ya Vita ya Ukraine na urrusi.....mwisho wa mwezi ukifika namwambia Kuna Vita nyingine ya China na taiwani.....ila kiustarabu nitalipa mdogo mdogo ili mambo yasiwe makubwa fidia yenyewe sio kubwa laki mbili TU.
Swali: Kati ya kiongozi na muongozwaji nani anahitajika awe na hekima, busara na maarifa zaidi???
Swali: Kwenye kufanya maamuzi muhimu na mazito nani anatakiwa kuwa mtulivu kati ya kiongozi na muongozwaji???
Swali: Nani anatakiwa aangalie yajayo(future) kati ya kiongozi na muongozwaji??
Nb: Hoja yako imejaa papara,mhemko,kiburi, majivuno n.k hali ambayo imepelekea kukosa mantiki!!!! Fukuza, fukuza, fukuza, fukuza!!!!Eti ndiyo maamuzi ya kiume!!!!
Siyo ajabu huyu nae selekali imetenga bajeti kwa ajili ya kumhesabu ok nisipinge mawazo yake Ana family au ndo anaishi kwa meji anyway Mungu Ni fundi Na Ana njia nyingi za kutuprove wrong sisi binadamu
Wenye roho Ngumu kama sisi tuko wachache, wanawake watakwambia ooh unanyanyasa lakini ukimwambia nenda Kwa wasionyanyasa maana unakutana nao kibao huko njiani kamwe hawezi kuondoka..
Mtu anatongoza Mwanamke anabembeleza na kujionesha ana shida sana sijui kapenda sana lazima alone moto kwa mwanamke ππ..
Hao Ndio huwa wanajinuknga sasa afu wanasingizia shetani na kusema eti hayajakufika sijui na blaa blaa zingine.