Mwanaume usiwajali watoto zaidi ya anavyowajali Mama Yao(mke wako)

Angalia maswali yanahitaji majibu gani .Punguza mhemko, papara na kiburi!!!!

Nb: Umejuaje kuwa mimi ni mwanamke???

Huenda Cover ya kiume, lakini inner-part ni jike. Hivyo ndio maana amekujibu Kwa namna hiyo.

Wapo pia wanawake (cover ya kike) Ila ndani ni madume.
 
Taikon wa. Fasihi Tz[emoji122][emoji122][emoji122]


Mimi ni Nani nikupinge ....fukuza , fukuza , fukuza
Now n mwendo wa kupiga SANCTIONS heavy......Kama USA [emoji23][emoji23][emoji23]lazima heshima iwepo

Mtu hakuheshimu alafu unamchekea chekea
 
Akati kwa binti kimaro hupindui...[emoji3][emoji3]
 
Asante mkuu maana daahh
 
b: Umejuaje kuwa mimi ni mwanamke???
Jamani si hii ni thura ya kike?? au...ok! kuna dume linapenda kuonekana rijirembo hivi kweli au macho yangu!!
any way tuyaache hayo mbona kurembua shoga angu kulikoni
majibu gani .Punguza mhemko, papara na kiburi!!!!
Jamani hata wao wanapenda bright future sasa km unajua kabisaa huyu mke hana future na mie nimfanyeje sasa??
!
 
Mungu hataki upuuzi, Fukuza!
Busara weka pembeni
Lkn mkuu kufukuza ke anaye jua matumizi ya tiles, gas cooker zile ndefuuu, sebure la kisasa. anaijua isndigo the need! aache mkoko wa premio hapo nje! handsome boy! umemuambukiza bahati, akapata kazi?? thubutu.

Na kama ameipata kazi hiyo aliyo nayo wkt mkiwa wote, mara nyingi akitoka kwako, ile kazi inaishaga kimaajabu sijui kwa nini ..sasa kwa hali kama hii eti fukuza weeee!!uwe na akili sana hapa.

aseee kwanza jua kwa ke siyo rahisi!! yaani aende akapikie mkaa tena kijijini nje na mvua inamnyeshea na hata kama kwao wapo njema lkn siyo km kwake----

Utamsikia Mama yake '''yaani Jumba lile umetoka mwanaguuu? mkosi gani huu? iko namna twende twende!!'''.......hapo ma mkwe atatoka na khanga tu....na lazima wakishindwa kumrudisha

watakuua tuuu!....hata ukiwa mchawi watakutafuta tuu afe yeye au ufe wewe!.....Maisha ya Mume na Mke yanakata kuliko TB ya kifua chunga sana maeneo haya yakamate Pesa na Mapenzi!

Usithubutu ........mke kukuacha/kuondoka kwako bana,... labda atake yeye!..siyo weye! labda km unatafuta kifo labda uoe mchawi hasaaa! kumzidi uliye mfukuza tena faster!

Yaani awe anasikia tu eti ''siku hizi Robert kanenepaa''' hee jamani Duniani hakuna mwembamba!! mara ''nimemuona shemeji Mataa ana bonge la vogue la Msouth!'' wajameni, .....mara atasikia ''kaenda Ulaya karudi jana nimekutana nae JNIA'''! weeee hapo chacha!

Lkn maneno km nimemuona ''shemeji kachokaaa'' alikuwa anakula vihepe'' hapo ndo nafuu yako! kumuacha mke ni vita ya cosovo! mpaka itulie majeruhi watakuwa weengi muulize Jacky!
 
Work away,mwanamke asiye kuheshimu.
 
Una hoja ya msingi lakini umechanganya mambo sana yani vululuvululu, unaweza Ku summarize hoja yako?
 
Una hoja ya msingi lakini umechanganya mambo sana yani vululuvululu, unaweza Ku summarize hoja yako?
Mke hatoki ng'oo! km pale penye Pesa/Mali, Elimu, Handsome vipo!...piga ua galagaza!!
 
Wakati niko Tanzania tupo kwenye ndoa mwaka wa pili.. kampuni moja ya wazungu niliyokuwa nikifanyia kazi ilisitisha operations zake Tanzania so nikarudi mtaani kiukweli from there ndoa ilipita kwenye test fulani ya uchumi mambo yalikuwa magumu sana, mke akaanza kuleta za kuleta sijui haoni future sijui amechoka yaani makelele na malalamiko tu kibao ...aisee nilimtafutia siku nikamchana nilimwambia tu ukitaka kuondoka na kuniacha we niambie tu nikuruhusu uende tena ntakupa baraka zote maana SINA CHA KUPOTEZA duniani zaidi ya kuishi na kumtumikia Mungu tu ..sijaja kuoa na kuzaa duniani hivi vyote ni ziada tu so mlango wako ni mweupeee ntakuruhusu uende kwa huyo mwanaume mwenye future kama huoni future kwangu... yaani toka siku hiyo sijasikia makelele yake tena mpaka mambo yalipokuja kukaa sawa saivi nipo naye canada akinitazama hanimalizi.. wanawake hawa acheni tu mwanaume lazima uwe na sifa ya kiongozi mwenye maamuzi magumu la sivyo utateseka sanaaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…