Mwanaume usiye na kazi usipende!

kuna "love" -upendo na "sex"-ngono

Mtoa mada unazungumzia "sex"

Unaweza kununua "sex" huwezi kununua "love"
Ukikosa pesa unaweza ukakosa sex lakini unaweza ukapata love
Love ni natural..it occurs automatic and it's unconditional
 
Ambae hajakuelewa shauri yake na likimkuta ajambo asije na thread za kulilia hapa maana tutamfurumusha na matusi
 
kuna "love" -upendo na "sex"-ngono

Mtoa mada unazungumzia "sex"

Unaweza kununua "sex" huwezi kununua "love"
Ukikosa pesa unaweza ukakosa sex lakini unaweza ukapata love
Love ni natural..it occurs automatic and it's unconditional
Shida now Sex ndio watu wameigeuza kuwa love. Mleta UZI anaongelea kitu ambacho unaweza kukipata kwa buku 3 mpk buku 5 ya nyerere. Angeongelea tu Kupenda peke yake which na shauri wanaume wote wasifanye huu ujinga WA kumpenda mwanamke sababu hata wewe ambaye una pesa Sasa au kazi inayokupa pesa..... Siku zikiisha then nae ATASEPA
 
Exactly,,ndio ninachozungumzia
 
kuna "love" -upendo na "sex"-ngono

Mtoa mada unazungumzia "sex"

Unaweza kununua "sex" huwezi kununua "love"
Ukikosa pesa unaweza ukakosa sex lakini unaweza ukapata love
Love ni natural..it occurs automatic and it's unconditional
Hakuna kitu kinaitwa unconditional love, hata Mungu hajaweza kutupatia unconditional love...iwe kwa hawa wanawake?
 
Hapa mzee baba umeongea jambo muhimu unakuta demu anapenda pesa huyoo njoo kwenye shoo mvivu hana hata amsha amsha nikikutanaga na wa namna hiyo huwa naonaga nimetapeliwa tu
Kuna mmoja alikuwa anakera kweli, anasema 'umalizi tu, muda wote huo'; akaitoa, nikaendelea kubaki na maumivu yangu. Mpaka leo akiomba tuonane, nampiga kalenda tu.
 
Jobless wauwawe wanachanganya sana mademu..mana shoo za jobless ni fire kama watakufa leo..wanakamia mbususu vibaya sana hadi mademu wanakosa direction anabaki katikati mana jobless shoo yuko vizuri ila hela hana.

#MaendeleoHayanaChama
Kwambaa[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…