Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

To yeye umetuheshimisha wasukuma aisee hadi nimeku [emoji3589]
 

Umetuheshimisha sana,hii post naifanyia lamination,
 
Hapa nakuunga mkono kwa 100% na zaidi. Nimeshawahi kuwa na msukuma jamani wanapenda sana mpaka unapendwa tena. Kwenye kutoa hela sasa ni bora yeye abaki hana hata 100 akupe wewe. Sema umbali ulipeperusha mahusiano yetu ila mpaka leo ananitafuta sana kunijulia hali na hata kusaidiana mawili matatu.
Katika wanaume Tanzania hii jamani Wasukuma wapewe sifa yao.
 
😘😘😘😘 Hakika wabarikiwe mno🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…