Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Wanaume wanao-upinga huu ukweli wengi ni ma-andunje [emoji38][emoji38] ,, ni vibishi sijaona aisee.
 
Kwa wasukuma wanawake ni binadamu wa daraja la mwisho.

Hata hivyo wanajua kutunza sana, na wanajua kwanini waliumbwa wanaume.
Ewaaa anakuona kama uliletwa duniani kumfanyia maisha yake kuwa marahisi ila si binadamu ni mashine flani hivi kiukweli wanaosifia wanaume wa misukuma huwa wananifanye niwaze au mi ninaokutana nao huwa wananidanganya kabila
 
Sifa zote ni kwa sababu mkiwasukuma wanasukumika.Wasukuma mkasukumwe.UKIONA MCHAWI ANAMSIFIA MCHUNGAJI JUA MCHUNGAJI YUPO MAAJARIBUNI.
 
Ukikutana na mwanamme msukuma wa Simiyu niko hapa Meta uje nikupe pole .
 
Thread bora kabisa. God bless you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…