Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Hawataki mwanamke afanye kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ivo bhanaMiongoni mwa Ma-MC washamba kwny kuvaa Hapa dar, wasukuma wanaongozaView attachment 2519532View attachment 2519537
Kuna mahala yupo kajikeep busy,tutamwona baadaeBujibuji Simba Nyamaume unaitwa huku,naona mmekumbukwa leo
Sijaelewa mkuu
Ewaaa anakuona kama uliletwa duniani kumfanyia maisha yake kuwa marahisi ila si binadamu ni mashine flani hivi kiukweli wanaosifia wanaume wa misukuma huwa wananifanye niwaze au mi ninaokutana nao huwa wananidanganya kabilaKwa wasukuma wanawake ni binadamu wa daraja la mwisho.
Hata hivyo wanajua kutunza sana, na wanajua kwanini waliumbwa wanaume.
Ukikutana na mwanamme msukuma wa Simiyu niko hapa Meta uje nikupe pole .Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.
Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Ha ha haAmina
Thread bora kabisa. God bless you.Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na usimsaliti Kwa viserengeti vitaka kulelewa....na ukimpata hana pesa mvumilie coz are fighters na mtunzane.
Wanawake wenzangu tuendelee kumwomba Mungu tuingie Pepo tukiwa tumeshikana mikono na waume zetu.
NB;Sijamaanisha nimepata msukuma.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume