Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Ewaaa anakuona kama uliletwa duniani kumfanyia maisha yake kuwa marahisi ila si binadamu ni mashine flani hivi kiukweli wanaosifia wanaume wa misukuma huwa wananifanye niwaze au mi ninaokutana nao huwa wananidanganya kabila
No, ndio walivyo.... wanao wasifia jua wanakubaliana na hilo suala la kuchukuliwa hivyo as long as anapewa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…