Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Ewaaa anakuona kama uliletwa duniani kumfanyia maisha yake kuwa marahisi ila si binadamu ni mashine flani hivi kiukweli wanaosifia wanaume wa misukuma huwa wananifanye niwaze au mi ninaokutana nao huwa wananidanganya kabila
Pole cute,katika wema wabaya wapo
 
Kuna wanaume wa Tz, halafu kuna wanaume wa Kisukuma 😍😍😍
To yeye ningeweza kushuka hapa, kumuongelea mwanaume wa Kisukuma ila nitaachwa akipita wa sasa 🤐😄😄😄😄😄😄
 
Kuna wanaume wa Tz, halafu kuna wanaume wa Kisukuma 😍😍😍
To yeye ningeweza kushuka hapa, kumuongelea mwanaume wa Kisukuma ila nitaachwa akipita wa sasa 🤐😄😄😄😄😄😄
🤣🤣🤣Chana tu,wako ni wako tu....haiwez ikawa sababu
 
Kwa upande wangu hao watu hapana aisee sina hamu nao labda waniroge, tena waniroge wamesimama poooooh.
 
🤣🤣🤣Chana tu,wako ni wako tu....haiwez ikawa sababu
Acha tu inipite, maana nayeye anaelekea si haba 😄😄😄😄 hatakagi kumsikia huyo ex wa Kisukuma kabisa. Nitaachwa bure bana 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…