Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Nimekaa usukumani miaka mingi kuna single mothers wengi sana,wenyewe wanaita wasimbe,si ajabu nyimba kukuta mabinti watatu wamerudi nyumbani kana wasimbe.
Take care
hii ni sahihi kabisa....
 
Mwanamke mweusi
Uko kwa wasukuma Hana thaman,

Hatofautishiwi na trekta

kazi zake nyumbani Ni kulima,kuchunga na kulisha mifugo.

Mweupe ndo anahesabika kama pambo la nyumba[emoji1787]
Mama J mzima ?
 
Ina maana umeamua kuzima uzi wa wale vijana wakataa ndoa?
 
Wanaume wa kisukuma,
Chakula ya matapeli wote Hapa DAR

Ukiskia list ya waliopigwa kwa Jeff forex,kalynda,mr.kuku,vanilla, deci, qnet.

Wanaume wa kisukuma wanaongoza
IMG_20220127_133840.jpg
 
Back
Top Bottom