Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

Inasemekana bora kuishi kwenye Dari kuliko kuishi na mwanamke.
Bahati mbaya kwenye Dari kuna hitaji umakini bado natafuta njia za kumkwepa mwanamke nakosa!.
 
To yeye ningekuwa na uwezo ningekuomba usibadishe avatar hii, inakupendezea sana.
Bahati mbaya ndio huo uwezo sina!!
πŸ˜‚πŸ˜‚Kusema ivo tu inatosha kaka....sitobadilisha tena....I promise
 
Pole sana sistangu kwa kaka yako kukutwa na bwana pepsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…