Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

Thanks much 😍
Sasa huyu anajinusa kwapa anataka agundue nini?

1679148459592.png
 
Inasemekana bora kuishi kwenye Dari kuliko kuishi na mwanamke.
Bahati mbaya kwenye Dari kuna hitaji umakini bado natafuta njia za kumkwepa mwanamke nakosa!.
1317818496.jpg
 
Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.

Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.

Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.

Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.

Kama unafanya biashara haramu si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.

Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.

Weekend njema
Pole sana sistangu kwa kaka yako kukutwa na bwana pepsi
 
Back
Top Bottom