To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Thanks much 😍Una hekima sana utadhani Jemima Mrembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks much 😍Una hekima sana utadhani Jemima Mrembo
Ngoja nimtoe😂😂😂🙌
Unataka kumwema nani?Ngoja nimtoe😂😂😂🙌
NishawekaUnataka kumwema nani?
😂😂😂Thread ya watu hii.....mi simo🤭
To yeye ningekuwa na uwezo ningekuomba usibadishe avatar hii, inakupendezea sana.[emoji23][emoji23][emoji23]Thread ya watu hii.....mi simo[emoji2960]
😂😂Kusema ivo tu inatosha kaka....sitobadilisha tena....I promiseTo yeye ningekuwa na uwezo ningekuomba usibadishe avatar hii, inakupendezea sana.
Bahati mbaya ndio huo uwezo sina!!
Safi teacherNadhani wameelewa
😂😂 Sawa mkuuSafi teacher
Mkuu mafala na wangese wangese huwa hawakosekani. Wanapenda mno kuwasemea wanawake. Ngoja waje ujioneeKuna wanaume watakuja kukubishia hapa. Subiri ujionee
Pole sana sistangu kwa kaka yako kukutwa na bwana pepsiLeo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.
Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.
Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.
Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.
Kama unafanya biashara haramu si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.
Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.
Weekend njema
DuhPole sana sistangu kwa kaka yako kukutwa na bwana pepsi