Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

Nawe utakuwa mama wa kijana wako ambaye baba yake unamtuhumu hapa.

Hiyo nayo ni siri ITUNZE
 
Nawe utakuwa mama wa kijana wako ambaye baba yake unamtuhumu hapa.

Hiyo nayo ni siri ITUNZE
Kwahiyo kama mzazi wake alifanya makosa nayarudia vipi kwa mtoto wangu na mlea kama nilivyolelewa kwa wazazi wangu
 
Una akili sana mrembo, yani maturity A+. Kama nawaona vile ma feminist wanavyokunja sura maana umepasua mulemule.
 
Inaitwa ukikakataa utoe sababu na ukipinga uje na reason😂
 
Kwahiyo kama mzazi wake alifanya makosa nayarudia vipi kwa mtoto wangu na mlea kama nilivyolelewa kwa wazazi wangu
unamlea peke yako kwa bidii eeh, kazana. tena uhakikishe anajua kuwa baba yake hakulelewa vizuri ila wewe mama yake.
 
Yalinikuta hayo dadangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…