Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
Wabheja saana nkowi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe utakuwa mama wa kijana wako ambaye baba yake unamtuhumu hapa.Wengi wanawambia ndugu zao hadi siri au hata ugomvi wake na mkewe, wakigombana tu na mkewe taarifa kwa ndugu zake, hivyo wanaume wengi waliolelewa na Mama zao huku baba zao wanakimbizana na michepuko hawana kifua hapa asilaumiwe mke bali vichwa vyao na malezi waliopata toka kwa Mama zao
Kwahiyo kama mzazi wake alifanya makosa nayarudia vipi kwa mtoto wangu na mlea kama nilivyolelewa kwa wazazi wanguNawe utakuwa mama wa kijana wako ambaye baba yake unamtuhumu hapa.
Hiyo nayo ni siri ITUNZE
Ha ha ha bila hata breakUtamu ukikolea mtu anajikuta anafunguka tu !
Una akili sana mrembo, yani maturity A+. Kama nawaona vile ma feminist wanavyokunja sura maana umepasua mulemule.Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.
Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.
Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.
Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.
Kama unafanya biashara haramu si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.
Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.
Weekend njema
unamlea peke yako kwa bidii eeh, kazana. tena uhakikishe anajua kuwa baba yake hakulelewa vizuri ila wewe mama yake.Kwahiyo kama mzazi wake alifanya makosa nayarudia vipi kwa mtoto wangu na mlea kama nilivyolelewa kwa wazazi wangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mie silei peke yanguunamlea peke yako kwa bidii eeh, kazana. tena uhakikishe anajua kuwa baba yake hakulelewa vizuri ila wewe mama yake.
Yalinikuta hayo dadangu.Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.
Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.
Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.
Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.
Kama unafanya biashara si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.
Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.
Weekend njema
PoleYalinikuta hayo dadangu.
Raha ehhNaogelea kwenye raha zako Jemima Mrembo
SawA ndio mbadilikeNipo hapa nakuna kichwa changu cha juu....nywele zinaeasha mbaya kwa hili Dongo letu.
Jemima Mrembo poa WANYABI TUMEKUSOMA
na nyinyi pia mbadilike mana mna GUBU ile mbaya sometimesSawA ndio mbadilike