Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

Wengi wanawambia ndugu zao hadi siri au hata ugomvi wake na mkewe, wakigombana tu na mkewe taarifa kwa ndugu zake, hivyo wanaume wengi waliolelewa na Mama zao huku baba zao wanakimbizana na michepuko hawana kifua hapa asilaumiwe mke bali vichwa vyao na malezi waliopata toka kwa Mama zao
Nawe utakuwa mama wa kijana wako ambaye baba yake unamtuhumu hapa.

Hiyo nayo ni siri ITUNZE
 
Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.

Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.

Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.

Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.

Kama unafanya biashara haramu si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.

Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.

Weekend njema
Una akili sana mrembo, yani maturity A+. Kama nawaona vile ma feminist wanavyokunja sura maana umepasua mulemule.
 
Inaitwa ukikakataa utoe sababu na ukipinga uje na reason😂
 
Kwahiyo kama mzazi wake alifanya makosa nayarudia vipi kwa mtoto wangu na mlea kama nilivyolelewa kwa wazazi wangu
unamlea peke yako kwa bidii eeh, kazana. tena uhakikishe anajua kuwa baba yake hakulelewa vizuri ila wewe mama yake.
 
Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.

Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.

Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.

Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.

Kama unafanya biashara si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.

Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.

Weekend njema
Yalinikuta hayo dadangu.
 
Back
Top Bottom