KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Tinaruhusiwa kukutongoza?😂😂😂Thread ya watu hii.....mi simoðŸ¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tinaruhusiwa kukutongoza?😂😂😂Thread ya watu hii.....mi simoðŸ¤
Hapana mkuuTinaruhusiwa kukutongoza?
Hapa jf wanawake wanaweza kukushawishi uingie mkenge wa ndoa🤣🤣🤣🤣Dada una madini sana, mimi ni mdau mzuri wa nyuzi zako
Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.
Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.
Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.
Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.
Kama unafanya biashara haramu si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.
Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.
Weekend njema
Wengi wanawambia ndugu zao hadi siri au hata ugomvi wake na mkewe, wakigombana tu na mkewe taarifa kwa ndugu zake, hivyo wanaume wengi waliolelewa na Mama zao huku baba zao wanakimbizana na michepuko hawana kifua hapa asilaumiwe mke bali vichwa vyao na malezi waliopata toka kwa Mama zaoLeo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.
Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.
Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.
Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.
Kama unafanya biashara haramu si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.
Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.
Weekend njema
Tatizo sio wanawake wala wanaume {watoto} wa siku huzi, maana mkitubebesha lawama hiyo mnatuonea.Tatizo wanawake wa siku hizi mkishakua na vijihela kidogo mnaanza kujiaminisha kwamba mnaweza ku handle familia na hamuhitaji tena mwanaume.
Wee kitombi umeoa?Hapa jf wanawake wanaweza kukushawishi uingie mkenge wa ndoa🤣🤣🤣🤣
Ingia sasa ndio utajua hamna kitu ni porojoz tuu.
Huwez kuwa mwanamke alafu utushauri sisi wanaume kuhusu wanawake huu ata kama ni ukweli ni zaidi ya utapeli .Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.
Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.
Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.
Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.
Kama unafanya biashara haramu si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.
Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.
Weekend njema
Wanatoa hela huko kwenye ndoa?Wee kitombi umeoa?
Hatari sana chief.Wanatoa hela huko kwenye ndoa?
It's all about maturity, understanding and enlightenment. Hivi vinakupa uwanja mpana wa kufikiria, kuandika na kushauriHuwez kuwa mwanamke alafu utushauri sisi wanaume kuhusu wanawake huu ata kama ni ukweli ni zaidi ya utapeli .
Huko pm nadhani kumefurika maombi😂 😂 😂 😂
Jemima Mrembo , jimbo lipo wazi au limeshachukuliwa? Hiyo mentality yako nimeipenda. Nadhani wewe ndiye Mwanamke unayenifaa kabisa. Maana huwa sipendi kuweka mambo yangu wazi wala kufuatiliwa sanaaaa. Ninachokipenda ni kutimiza majukumu yangu kama Kiongozi wa familia.
Jimbo lipo Wazi ? ili nitafute Campaign Manager nianze mchakato wa kutangaza nia ya kulichukua ?🙂🙂🙂