Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.

Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.

Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.

Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.

Kama unafanya biashara haramu si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.

Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.

Weekend njema

😂 😂 😂 😂
Jemima Mrembo , jimbo lipo wazi au limeshachukuliwa? Hiyo mentality yako nimeipenda. Nadhani wewe ndiye Mwanamke unayenifaa kabisa. Maana huwa sipendi kuweka mambo yangu wazi wala kufuatiliwa sanaaaa. Ninachokipenda ni kutimiza majukumu yangu kama Kiongozi wa familia.
Jimbo lipo Wazi ? ili nitafute Campaign Manager nianze mchakato wa kutangaza nia ya kulichukua ?🙂🙂🙂
 
Wengi wanawambia ndugu zao hadi siri au hata ugomvi wake na mkewe, wakigombana tu na mkewe taarifa kwa ndugu zake, hivyo wanaume wengi waliolelewa na Mama zao huku baba zao wanakimbizana na michepuko hawana kifua hapa asilaumiwe mke bali vichwa vyao na malezi waliopata toka kwa Mama zao
 
Tatizo wanawake wa siku hizi mkishakua na vijihela kidogo mnaanza kujiaminisha kwamba mnaweza ku handle familia na hamuhitaji tena mwanaume.
Tatizo sio wanawake wala wanaume {watoto} wa siku huzi, maana mkitubebesha lawama hiyo mnatuonea.
Tatizi ni walezi wa watoto wa siku hizi.
Kama ninyi mlipata malezi mazuri kwa nini msitupatie hayo malezi nasi tukawa kama ninyi.
 
Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.

Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.

Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba wanatakiwa wafanyenini.

Usimwambie mkeo mapungufu na madhaifu ya mama yako na ndugu zako, ataudharau ukoo mzima. Mabinti wengi wa leo hawana upendo wa dhati, hawana hofu ya Mungu, hawana adabu, na wana dharau, jeuri na kiburi.
Pia wana matusi, masengenyo, na kila aina ya tabia mbaya.

Kama unafanya biashara haramu si vyema mkeo ajue, hadi umejiridhisha. Mwanamke ndiye chanzo la anguko la mwanaume. Eva alimwangusha Adam. Delilah alimwangusha Samson.

Mwanaume tumia akili zako vizuri na usijaribu kutumia hisia kuongoza ndoa yako. Hisia tumeumbiwa wanawake, nyie mmeumbiwa akili.

Weekend njema
Huwez kuwa mwanamke alafu utushauri sisi wanaume kuhusu wanawake huu ata kama ni ukweli ni zaidi ya utapeli .
 
😂 😂 😂 😂
Jemima Mrembo , jimbo lipo wazi au limeshachukuliwa? Hiyo mentality yako nimeipenda. Nadhani wewe ndiye Mwanamke unayenifaa kabisa. Maana huwa sipendi kuweka mambo yangu wazi wala kufuatiliwa sanaaaa. Ninachokipenda ni kutimiza majukumu yangu kama Kiongozi wa familia.
Jimbo lipo Wazi ? ili nitafute Campaign Manager nianze mchakato wa kutangaza nia ya kulichukua ?🙂🙂🙂
Huko pm nadhani kumefurika maombi
 
Ni upumbavu usiovumiliika, kama mpaka sasa hivi huyu dada hajajengewa sanamu!

Nachangia mifuko minne ya cement, ujenzi uanze haraka iwezekanavyo!

Na ujenzi ufanyike usiku na mchana mpaka likamilike!
 
Wewe ni moja kwa moja utaingia kwenye mpango wa Taifa wa kilimo bbt(build a better tomorrow)ulizinduliwa jana na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,,Tuwasiliane kwa No.0784458568
 
Nipo hapa nakuna kichwa changu cha juu....nywele zinaeasha mbaya kwa hili Dongo letu.

Jemima Mrembo poa WANYABI TUMEKUSOMA
 
Back
Top Bottom