Mwanaume yeyote anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri

Waache waendelee kujifanya hawatufahamu sisiwenye sura za baba
 
Ukweli ni kwamba ''shepu na sura nzuri'' ni relative term. Mr A anaweza kuona Mrs B ana shepu na sura nzuri lakini watu wengine wakaona vingine. Na zaidi mwanamme huwa anaangalia mambo mengine mengi zaidi sura na shape.
 
Kuna shepu zingine zikipita, kila mwanaume lazima atageuka kumtazama
 
Kuna shepu zingine zikipita, kila mwanaume lazima atageuka kumtazama
Tatizo siyo kugeuka. Wanageuka kwa sababu gani? Tuulize sisi wakongwe. Shepu siyo kigezo cha mwanamke kupendwa. Shepu inafanya wanaume watamani kufanya experiment zao lakini siyo kumiliki. Uzoefu umeshatufunza mengi na kama utakuwa fair utakubaliana na mimi kuwa wanawake wenye shepu nzuri ndiyo hupata wakati mgumu kuolewa japo wanatumika sana kwa kukata kiu.
 
Nakubaliana na hoja yako, kuishi naye ni vigumu kwa sababu anakuwa anahitajika na watu wengi
 
Huo ni uongo mtupu.

Unayemuona mzuri,ninamuona mbaya.

Unayemuona mbaya,ninamuona mzuri.
 
Sema Hakyanani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…