Mwanaume yeyote anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri


Wacha wachina na waturuki waendelee kutupambania tupate hizo shepu na sura mnazotaka πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Usiiguse hyo ni kwa ajili ya watoto tutaopata.....ww Kazi Yako ni ndogo sana...... kulala chumba kinachofuata baada ya mlango wa chumba changu.....na uegeshe mlango
Kutengana vyumba ni sawa na kuingia motoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear mic u mnoooo.
 
Kheeeeeeh mbna Dunia ni Duara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…