Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume
1. Controllers
Hawa Ni Wale Wanawake Ambao,
Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo,
Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control.
Wengi Huwa Na Tatizo Linaitwa "Control Freak"
2. Boxing Women
Hawa Ni Wale Wanawake Ambao Wamekaa Kisharishari.
Wao Suala La Kugombana Ni Issue Ya Dakika 0.
Huwa Wanasumbuliwa Na Fikra Za Ushindani (Competetive Mentality)
Na Mara Nyingi Huwa Wanapenda Wao Ndio Waibuke Washindi.
3. Patient's Women
Hawa Ni Wanawake Ambao Huwa WANAUMWAUMWA.
Mara Nyingi Ukiwasiliana Nao Neno "Naumwa Hiki, Naumwa Kile" Halikosekani.
Yawezekana Ni Kweli Au Ni Uongo.
Ila Kwa Mwanaume Anaona Kama Usumbufu na Inamtia Hofu.
Kwa Lugha Ingine Ni Kama Wanawake Ambao Huwa Wanashida Za Mara Kwa Mara.
Mwanaume Anaona Kama "Huu Ni Mzigo" Anaamua Kukimbia.
4. Spenders
Hii Ni Aina Ya Wanawake Wafujaji/Watapanyaji...
kwa lugha Nyingine Huitwa "Parties Women"
Sifa Mojawapo Waliyonayo Ni Kuwa na Matumizi Mabaya Ya Fedha.
Wanapenda Outs Zisizo na Mpangilio Pamoja na Shughuli (Visherehe)
Matumizi Yao Huwa Ni Makubwa Sana Kiasi Cha,
Kuwa Ombaomba, Kushindwa Kufanya Vitu Vya Msingi, Kulazimika Kuwa na Wanaume Zaidi ya Mmoja.