Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
- Thread starter
- #41
Spender?Sema hiyo no. 4 ungetupata wengi kama ungeondoa last paragraph🤸🏽♀️🤗
Spender?Sema hiyo no. 4 ungetupata wengi kama ungeondoa last paragraph🤸🏽♀️🤗
mfupa hauna ulimi.Mke wa kukaanga
Mwanamke Wa Moto Sana 👋👋👋👋👌👌🙆♂️🙆♂️✂️✂️
Namba moja huyo ndie mke wangu...Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume
1. Controllers
Hawa Ni Wale Wanawake Ambao,
Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo,
Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control.
Wengi Huwa Na Tatizo Linaitwa "Control Freak"
2. Boxing Women
Hawa Ni Wale Wanawake Ambao Wamekaa Kisharishari.
Wao Suala La Kugombana Ni Issue Ya Dakika 0.
Huwa Wanasumbuliwa Na Fikra Za Ushindani (Competetive Mentality)
Na Mara Nyingi Huwa Wanapenda Wao Ndio Waibuke Washindi.
3. Patient's Women
Hawa Ni Wanawake Ambao Huwa WANAUMWAUMWA.
Mara Nyingi Ukiwasiliana Nao Neno "Naumwa Hiki, Naumwa Kile" Halikosekani.
Yawezekana Ni Kweli Au Ni Uongo.
Ila Kwa Mwanaume Anaona Kama Usumbufu na Inamtia Hofu.
Kwa Lugha Ingine Ni Kama Wanawake Ambao Huwa Wanashida Za Mara Kwa Mara.
Mwanaume Anaona Kama "Huu Ni Mzigo" Anaamua Kukimbia.
4. Spenders
Hii Ni Aina Ya Wanawake Wafujaji/Watapanyaji...
kwa lugha Nyingine Huitwa "Parties Women"
Sifa Mojawapo Waliyonayo Ni Kuwa na Matumizi Mabaya Ya Fedha.
Wanapenda Outs Zisizo na Mpangilio Pamoja na Shughuli (Visherehe)
Matumizi Yao Huwa Ni Makubwa Sana Kiasi Cha,
Kuwa Ombaomba, Kushindwa Kufanya Vitu Vya Msingi, Kulazimika Kuwa na Wanaume Zaidi ya Mmoja.
Kwanin usiongoze wew?Namba moja huyo ndie mke wangu...
Kwa uzuri TU nimempa aongoze Mimi na mwangalia ila siku izii kasema nimebadilika
SIMU zangu hazinaga pattern sinaga michepuko...JUZI kati Kuna business women mmoja kanielewa.. Nika GEUKA and PIRLO 😊 nikajifafanya player zaidi ya RONALDO WA BRAZIL.. MESEJI ZIKADAKWA NA JASUSI..SIO POA ILA TUME YA MALIZA NA MAMBO YANAENDA SAWA..
Mke wangu ana akili sana ni mwalimu she own her daycare school (director) unajua Mimi ni moja ya watu ambao tumeoa watu wanao tupenda..Kwanin usiongoze wew?
Yes, No. 4 last paragraphSpender?
Humu tu 🤺🥷⚔️🤸🏽♀️Mwanamke Wa Moto Sana 👋👋👋👋👌👌🙆♂️🙆♂️✂️✂️
Nipo kama sipo babe, nina mzigo wa movies nazipunguza mdogo mdogoAnapenda attention huyo.. kwanza nimekumithi ulipotelea wapi🤗
Kuna watu ni submissive, wana enjoy kuongozwa kuliko kuongozaKwanin usiongoze wew?
Mimi ndio nimekuwa mvivu! Hapa nmefika home naangakia aliyotu-recommend dosho hata siielewi🥴Nipo kama sipo babe, nina mzigo wa movies nazipunguza mdogo mdogo
Mimi na wakorea hapana kwa kweli, wana utoto mwingi sanaMimi ndio nimekuwa mvivu! Hapa nmefika home naangakia aliyotu-recommend dosho hata siielewi🥴
Mi zamani nilikuwa naangalia mno zile rooftop prince sjui nini! Sikuhizi sijui ndio uzee hata sizitaki🤦🏽♀️Mimi na wakorea hapana kwa kweli, wana utoto mwingi sana
Zamani walituteka sana enzi hizo mabishoo wao wanavyojipodoa basi wadada pants zinaloa hahaha umri nao unachangia kuanza kuona watu series nzima hawakiss wanakuja kugusanisha vimidomo vyao episode ya mwisho😂😂😂Mi zamani nilikuwa naangalia mno zile rooftop prince sjui nini! Sikuhizi sijui ndio uzee hata sizitaki🤦🏽♀️
Ukiwekwa ndani ukahudumiwa kila kitu utajikuta mfumo wa utii unaufuata bila shuruti tu
Tulikuwa tunapagawa balaa😂🤸🏽♀️ Yani yani kuna watu pssword za cm ilikuwa kimjuong rafkiangu mmoja pc yake password ilikua jichangwook sijui nani hukoo🙌🏾 Utoto banaZamani walituteka sana enzi hizo mabishoo wao wanavyojipodoa basi wadada pants zinaloa hahaha umri nao unachangia kuanza kuona watu series nzima hawakiss wanakuja kugusanisha vimidomo vyao episode ya mwisho😂😂😂
Nani kasema🤔Ukiwekwa ndani ukahudumiwa kila kitu utajikuta mfumo wa utii unaufuata bila shuruti tu
OkNani kasema🤔
Hatari tupu...🤣Tulikuwa tunaoagawa balaa😂🤸🏽♀️ Yani yani kuna watu pssword za cm ilikuwa kimjuong rafkiangu mmoja pc yake password ilikua jichangwook sijui nani hukoo🙌🏾 Utoto bana