Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
People with failed mmarriages bwana! ! !
Mjifunzage kuteseka kibinafsi, wajibikeni na makosa yenu.
Hutosikia wanasema kakosea kuoa / kuolewa, au yeye mwenyewe hafai kuwa kwenye mahusiano kwasababu ya sifa zake mbaya, yeye ni kuponda tu wengine na ndoa tu overall.