Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Naomba bao likurukie usoni🤢Nasubir ifike saa 6 usiku nipige nyeto huku navuta bang zangu 😎
Naomba bao likurukie usoni🤢Nasubir ifike saa 6 usiku nipige nyeto huku navuta bang zangu 😎
Hua nalikinga mkononi na kuanza kuchagua watoto.Naomba bao likurukie usoni🤢
Nimejisahau, ngoja nikirushe Kimoja ili kuweka akili sawaMke gani wew?😂😂
Humu ndani tunajuwa wew ni mzee wa nin?
Umeshawaka wewe😃Hua nalikinga mkononi na kuanza kuchagua watoto.
Wale wapuuzi na watakaokuwa chawa wa ccm nawatupa chooni then wale wenye kujitambua nawaweka kwenye chupa nawauza kwa wazungu, nna soko huko
Oa bhana hawa waongo😂Mungu atuepushe na kikombe hiki cha siki ya sifongo kwa ambao hatujaoa😑😑.. ikikupendeza BABA.
Mimi na wake 2 na hakuna hata mmoja ana sifa hizo.Bali wake zangu mimi sifa zao ni hizi:Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume
1. Controllers
Hawa Ni Wale Wanawake Ambao,
Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo,
Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control.
Wengi Huwa Na Tatizo Linaitwa "Control Freak"
2. Boxing Women
Hawa Ni Wale Wanawake Ambao Wamekaa Kisharishari.
Wao Suala La Kugombana Ni Issue Ya Dakika 0.
Huwa Wanasumbuliwa Na Fikra Za Ushindani (Competetive Mentality)
Na Mara Nyingi Huwa Wanapenda Wao Ndio Waibuke Washindi.
3. Patient's Women
Hawa Ni Wanawake Ambao Huwa WANAUMWAUMWA.
Mara Nyingi Ukiwasiliana Nao Neno "Naumwa Hiki, Naumwa Kile" Halikosekani.
Yawezekana Ni Kweli Au Ni Uongo.
Ila Kwa Mwanaume Anaona Kama Usumbufu na Inamtia Hofu.
Kwa Lugha Ingine Ni Kama Wanawake Ambao Huwa Wanashida Za Mara Kwa Mara.
Mwanaume Anaona Kama "Huu Ni Mzigo" Anaamua Kukimbia.
4. Spenders
Hii Ni Aina Ya Wanawake Wafujaji/Watapanyaji...
kwa lugha Nyingine Huitwa "Parties Women"
Sifa Mojawapo Waliyonayo Ni Kuwa na Matumizi Mabaya Ya Fedha.
Wanapenda Outs Zisizo na Mpangilio Pamoja na Shughuli (Visherehe)
Matumizi Yao Huwa Ni Makubwa Sana Kiasi Cha,
Kuwa Ombaomba, Kushindwa Kufanya Vitu Vya Msingi, Kulazimika Kuwa na Wanaume Zaidi ya Mmoja.
Huyu paka wetu anavusha madume, anakula panya, anayezaa kila mwezi, si angekuwa kuku hata tukafanya mtaji ndio ajilinganishe na mwanamke?Ukitaka kuzisoma baadhi ya tabia za mwanamke , mchunguze Paka wa hapo nyumbani harakati zake...
Maajabu utakuta wewe ni mpole balaa huwezi fanya hayo 😂
Ni mkorofi sana mimi😂Maajabu utakuta wewe ni mpole balaa huwezi fanya hayo 😂
Anapenda attention huyo.. kwanza nimekumithi ulipotelea wapi🤗Namba 3 ni my cuzo bahati kapata mume mvumilivu sana maana sie wa mbali tumemchoka, anaweza kujiveka maradhi makubwa akatikisa ukoo mzima ila akipima hamna kitu, ana madaktari bingwa hospital zote kubwa ni ishu ya kisaikolojia zaidi, mtu kujihisi anaumwa sana wakati haumwi.
Namba 1 inanihusu mamaee, uzuri nishajenga nyumba yangu nyingine mkoa mwingine nasubiri bomu lilipuke nisambaratike. Nabadilisha line mpaka identity