Mwanaume yeyote mwenye mke lazima kuna moja ya sifa hizi zinamsumbua

Naomba bao likurukie usoni🤢
Hua nalikinga mkononi na kuanza kuchagua watoto.

Wale wapuuzi na watakaokuwa chawa wa ccm nawatupa chooni then wale wenye kujitambua nawaweka kwenye chupa nawauza kwa wazungu, nna soko huko
 
Mimi na wake 2 na hakuna hata mmoja ana sifa hizo.Bali wake zangu mimi sifa zao ni hizi:
Wa kwanza ni MKIMYA
Wa pili ni:Anapenda kwao maana nilimpata nje ya Tanzania
 
Ukitaka kuzisoma baadhi ya tabia za mwanamke , mchunguze Paka wa hapo nyumbani harakati zake...
Huyu paka wetu anavusha madume, anakula panya, anayezaa kila mwezi, si angekuwa kuku hata tukafanya mtaji ndio ajilinganishe na mwanamke?
 
Namba 3 ni my cuzo bahati kapata mume mvumilivu sana maana sie wa mbali tumemchoka, anaweza kujiveka maradhi makubwa akatikisa ukoo mzima ila akipima hamna kitu, ana madaktari bingwa hospital zote kubwa ni ishu ya kisaikolojia zaidi, mtu kujihisi anaumwa sana wakati haumwi.
 
Anapenda attention huyo.. kwanza nimekumithi ulipotelea wapi🤗
 
Sema hiyo no. 4 ungetupata wengi kama ungeondoa last paragraph🤸🏽‍♀️🤗
 
Namba 1 inanihusu mamaee, uzuri nishajenga nyumba yangu nyingine mkoa mwingine nasubiri bomu lilipuke nisambaratike. Nabadilisha line mpaka identity
 
Pole sana mkuu
Namba 1 inanihusu mamaee, uzuri nishajenga nyumba yangu nyingine mkoa mwingine nasubiri bomu lilipuke nisambaratike. Nabadilisha line mpaka identity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…