Mwanaume yeyote mwenye mke lazima kuna moja ya sifa hizi zinamsumbua

Namba moja huyo ndie mke wangu...

Kwa uzuri TU nimempa aongoze Mimi na mwangalia ila siku izii kasema nimebadilika

SIMU zangu hazinaga pattern sinaga michepuko...JUZI kati Kuna business women mmoja kanielewa.. Nika GEUKA and PIRLO 😊 nikajifafanya player zaidi ya RONALDO WA BRAZIL.. MESEJI ZIKADAKWA NA JASUSI..SIO POA ILA TUME YA MALIZA NA MAMBO YANAENDA SAWA..
 
Kwanin usiongoze wew?
 
Namba 1 na 2 ,aiseh utakoma!trust me utakoma sana!!

Just run away coz ndio njia pekee ya kutokwenda gerezani au usipate pressure !
 
Mi zamani nilikuwa naangalia mno zile rooftop prince sjui nini! Sikuhizi sijui ndio uzee hata sizitaki🤦🏽‍♀️
Zamani walituteka sana enzi hizo mabishoo wao wanavyojipodoa basi wadada pants zinaloa hahaha umri nao unachangia kuanza kuona watu series nzima hawakiss wanakuja kugusanisha vimidomo vyao episode ya mwisho😂😂😂
 
Zamani walituteka sana enzi hizo mabishoo wao wanavyojipodoa basi wadada pants zinaloa hahaha umri nao unachangia kuanza kuona watu series nzima hawakiss wanakuja kugusanisha vimidomo vyao episode ya mwisho😂😂😂
Tulikuwa tunapagawa balaa😂🤸🏽‍♀️ Yani yani kuna watu pssword za cm ilikuwa kimjuong rafkiangu mmoja pc yake password ilikua jichangwook sijui nani hukoo🙌🏾 Utoto bana
 
Tulikuwa tunaoagawa balaa😂🤸🏽‍♀️ Yani yani kuna watu pssword za cm ilikuwa kimjuong rafkiangu mmoja pc yake password ilikua jichangwook sijui nani hukoo🙌🏾 Utoto bana
Hatari tupu...🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…