Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
Kumbe na sarakasi unapiga ukiwa mgomvi, kabla hujatua unakula "shoko shugi" moja mujarabu ya tumbo, utasema "I was joking jameni" 😂Try me ⚔️🤸🏽♀️👊🏾
Shenzi nimecheka😂😂Kumbe na sarakasi unapiga ukiwa mgomvi, kabla hujatua unakula "shoko shugi" moja mujarabu ya tumbo, utasema "I was joking jameni" 😂
Sometimes huwa tunawaachia tu hamjui tu, unawaza hivi huyuu, unaona majengo ya serikali yale watu wake wanavaa 🍊 🍊 😂Shenzi nimecheka😂😂
Ngoja nikaanze course ya taikondo naona unanichezea wewe😅
Usinitishe mkuu😂😂Sometimes huwa tunawaachia tu hamjui tu, unawaza hivi huyuu, unaona majengo ya serikali yale watu wake wanavaa 🍊 🍊 😂
Kachukue Taikondo uivee kimedani 🤣
We sikilizaa anza kurusha ngumi, anza wewe uone sasa 🤣🤣🤣Usinitishe mkuu😂😂
Au nifanye kama najikuna hivi😅We sikilizaa anza kurusha ngumi, anza wewe uone sasa 🤣🤣🤣
Sasa naamini, hivi huwa unapiga hata *samasoti" nini maana 🤣🤣Au nifanye kama najikuna hivi😅
Napiga vizuri nikikupitia na kerebu moja hutosahau maisha na umri🙌🏾Sasa naamini, hivi huwa unapiga hata *samasoti" nini maana 🤣🤣