Mwanaume yeyote rijari asie penda kuwa kama mimi anyooshe mkono

Kijana, kumbe haujui humu hadi wakazi wa gamboshi, na nanjilinji wamo? Unakutana na post za vitoto vya 2000 unahisi wote tuko hivyo. Rudi kwenye ubongo wako ujadili upya
ndugu mimi bila evidence Hua sipotezi muda wangu kubishana toa vielelezo basi
 
Kwahiyo miandiko hapo unaona wana chakununuliana? 🀣🀣
Mfeminist katika ubora wako 😁😁 natifua vibuyu vya wafuasi wako kama sina akili nzuri bila hata Mia. Shenzi
 
Mfeminist katika ubora wako 😁😁 natifua vibuyu vya wafuasi wako kama sina akili nzuri bila hata Mia. Shenzi
πŸ˜‚ so mtu akiwa against na wewe ni feminist?? Basi fresh kiongozi.

Ila kwa hizo miandiko hapo majibu tunayo.
 
πŸ˜‚ so mtu akiwa against na wewe ni feminist?? Basi fresh kiongozi.

Ila kwa hizo miandiko hapo majibu tunayo.
Kwa hizo miandiko hapo majibu tunayo.......hii tu imejidhihirisha hata wewe ni wa type hizo........ila keep in mind nafukunyua vibuyu kama nguruwe kwenye shamba la mihogo utaniambia nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…