Mwanaume yeyote rijari asie penda kuwa kama mimi anyooshe mkono

Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu.

Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao.

Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine..

Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge magari na majumba mimi nakula na kukichezea kadri yangu.

Fikiria hawa ni watu wawili ambao wameniiba kwa rafiki yao mwingine tu na sio kwamba ni pisi zenye njaa au magumashi ni pisi ambazo huko nje mnazihonga pesa ndefu kabisa.

NB
Haya mambo ya mapenzi tusiigane wengine ni vipaji maalumu ndio maana hatuyahangaikii ila yanatufata yenyewe.

Watu wa ukimwi, watu wa kiroho, watu nuksi, mafeminist, na watu tafuta hela napenda niwataarifu tu kuwa badae nina miadi na mtoto prisca hivyo comments zenu mkafanyie kazi wenyewe
weka na picha tuone
 
What a waste
 
Jifunzeni kusoma maelezo wakuu ndio maana tz haisongi mbele kisa ujuaji.

Mimi ni Mume wa mtu ,
Mimi ni baba wa watu,
Mimi ni boss wa watu,
Mimi ni business partner wa watu,
Nimeingia darasani kama wengi wenu,
Nasomesha,Nalisha ,navisha etc

Vipi niendelee kujieleza......?
Nakufaham na unakitambi shezi sana
 
Kama nasikia harufu ya haszu kwenye huu uzi 🤔
 
Ni stages na vipaumbele tu mkuu.

Nakumbuka hata mi enzi zangu ilikua kawaida kua pisi nyingi nyingi na nyingine zinajuana kabisa huyu anatoka na fulani ila nazo zinaweka kambi.

Naweza kusema ni ujana sometimes, na sio lazima uwe kijana mdogo. Ukiruka stage hiyo hata uwe na miaka 30 bado utabehave kama kijana wa miaka 17 kwa kua na videm vingi vingi hata zaidi ya 10 huku ukijiona mjaaanja na kutambia wana kama ww ufanyavyo.
 
Endeleeni kulia nayo
 
Mkuu jipige kifua mara tatu huku ukijiambia kimoyomoyo kwamba wewe ni mgonjwa wa afya ya akili,baada ya hapo wahi hospitali upate matibabu ya kisaikolojia haraka sana,,,maana ukichelewa tatizo litazidi kuwa kubwa
 
Sasa hii yote ya nini....?😁😁
 
Back
Top Bottom