Mwanaume yeyote rijari asie penda kuwa kama mimi anyooshe mkono

Wewe ndo mwanaume.
Unaanzaje kuhonga mwanamke ambaye anabeba jina la ukoo wa baba yake?
 
Watu wa ukimwi, watu wa kiroho, watu nuksi, mafeminist, na watu tafuta hela napenda niwataarifu tu kuwa badae nina miadi na mtoto prisca hivyo comments zenu mkafanyie kazi wenyewe
😀😀😀😀
 
Tafta hela mkuu, acha kujiokotea mademu waliojichokea wa bure, maronya ronya.

Kama huhongi watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji tu ama utakua unasubiri wenzio tunakula utamu tukimaliza tunakuachia wewe unakua kama fisi, unasubiri mizoga iliyojifia ujipigie bure.

Kingine ni kwamba hauko busy, una free time nyingi ndio maana unawapa muda mwingi wanawake. Mwanamke cha kumpa ni hela na dudu, muda tumia kutafta hela.
 
Jifunzeni kusoma maelezo wakuu ndio maana tz haisongi mbele kisa ujuaji.

Mimi ni Mume wa mtu ,
Mimi ni baba wa watu,
Mimi ni boss wa watu,
Mimi ni business partner wa watu,
Nimeingia darasani kama wengi wenu,
Nasomesha,Nalisha ,navisha etc

Vipi niendelee kujieleza......?
 
Nitafute hela za nini.......? Hela ni wide term
 
Kwanza post yako haikueleza unayoyaeleza sasa na pili Kwa post yako mkuu hizo sifa ulizoandika hapo huna. Huwezi kua boss na business partner halafu bado uwe na muda wa kuwapa wanawake, hilo ni uongo wa wazi mkuu wangu.
 
Jiseme mwenyewe wewe ni kavulana ka miaka mingapi!?? Au ni kavulana kazee! Ninachojua mwanaume aliyekamilika Hana muandiko Kama wako
 
ni huzuni
 
Attachments

  • Screenshot_20240617-185329.jpg
    65.3 KB · Views: 2
Kwanza post yako haikueleza unayoyaeleza sasa na pili Kwa post yako mkuu hizo sifa ulizoandika hapo huna. Huwezi kua boss na business partner halafu bado uwe na muda wa kuwapa wanawake, hilo ni uongo wa wazi mkuu wangu.
Ukiona hivyo haujui kuutumia muda wako fresh
 
Kuandika kwenyewe hujui, utakuwa unawateka wajinga wenzako. Haha
 
Bado ni masikini Sasa utahonga nn kinachokusumbua ni umasikini sio kwamba si mtoaji utakula pisi ila siyo wanapokojolea wenzako wenye pesa....tafuta pesa mkuu
 
Kuandika kwenyewe hujui, utakuwa unawateka wajinga wenzako. Haha
Kwani kula papuchi na ujinga vina mahusiano gani....? Au ndio wivu.....? Mzee unanionea wivu mtu hata hunijui....? Eti mjinga hahahahaha
 
Bado ni masikini Sasa utahonga nn kinachokusumbua ni umasikini sio kwamba si mtoaji utakula pisi ila siyo wanapokojolea wenzako wenye pesa....tafuta pesa mkuu
Na hivyo vi hela vyenu ndio vinawafanya muwe na maisha magumu kila kona. Jitafute kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…